Tumeshaonywa Tena na Tena: Mpenzi au Mchumba Hasomeshwi!

baada ya upembuzi yakinifu hii nayo tulikataa!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Daaaah aiseeee hvi mnatumiaga nini lakini.....
 
kwanini mkuu..
Nawaza huo upembuzi yakinifu ulifanyika vipi mpaka mkakataa na sababu za kukataa zilikua nini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dan Brown anadai Maria mangada alikuwa chombo cha Emma Jose

M
 
Mambo yote katika MAISHA unapomfanyia MTU usiweke matarajio kuwa huyo MTU atakulipa chochote in return .

Anayekulipa sio yule uliyemsaidia Ila ni mfumo wa MAISHA wenyewe unafunguka na kuwa upande wako.

Expectations is hell
 
Ni sawa na kutuma nauli badala ya kumkatia kabisa online kuna mtu keshapigwa kama mara tatu kichwa kigumu
 
Yaaan ngoja wanyangende tusiipate mkuu .
Uta trend tuu "" VISHU MTATA WA JF KACHAFUA HALI YA HEWA """ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aaah wapi, ikitrend basi rasmi nakua mcheza porn.
 
Aaah wapi, ikitrend basi rasmi nakua mcheza porn.
Vishu mtata.... Wee subiri itakua mwisho wako.....
Mana kuna mwenzko nae humu humu tumepata video yake...
Daaah aiseee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Vishu mtata.... Wee subiri itakua mwisho wako.....
Mana kuna mwenzko nae humu humu tumepata video yake...
Daaah aiseee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nyie pateni tu mi sijari wala nini
 
yaani mtu ukosee mara ya kwanza na anafanya kosa la pili kutaka kujiua kwamba demu ni mmoja au kajionaje..... kuna wanaume tunafeli sana asee unasomesha mchumba kwamba stori za miaka ya nyuma hazikumpa funzo au alijikuta joji of ze jango
 
Hii elimu uwezi fundishwa darasani mkuu, wasipoelewa basi watakutana nayo live bila chenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…