Tumeudharau ugonjwa wa Corona kwa kukosa Maarifa na itakuwa inaondoa mmoja mmoja?

Tumeudharau ugonjwa wa Corona kwa kukosa Maarifa na itakuwa inaondoa mmoja mmoja?

Hebu nambie tu tangu walipoanza kuchukua hizo tahadhari, ni nchi gani angalau moja tu duniani imefanikiwa kudhibiti kusambaa kwa maambukizi na vifo vya UVIKO_19 na sasa wako salama kabisa. Ahsante

Mafanikio ya Iceland na gonjwa hili wewe hujayasikia?
 
Kwa hiyo tuendelee kusubiri mwezi wa ngapi ndio corona itatufagia? Tulibiwa tutadondoka kama kuku wewe kideri....muda hujafika tu?
Korona inafyeka wamarekani wenye chanjo na barakoa na social distance kuliko changanyikeni ya tz...
Nashauri wewe vaa barakoa
Kwani videri wangapi imewauwa ofisi kuu mpaka sasa?
 
Baada ya huu msimba kutakuwa na vifo vingi sn vya corona
Kwann hivo vifo visianze hata sasa... tangu tarehe ngapi watu wanakusanyika kwa wingi bila barakoa... be positive ndugu. Acha kuwaza mabaya. Kafanye kazi uinue taifa.
 
Uviko ilichanganya hapo december, January, February saivi imetulia
 
Miradi mikubwa inahitaji pesa, itangazwe Covid19 watu waogope kufanyakazi, pesa za miradi zitapatikana wapi?
Miradi ni Bora kuliko watu
 
Ulitaka utangaziwe wewe ili iweje.... ndugu zako wangapi waliokufa ulitutangazia kwenye vyombo vya habari ili na sisi tujue wamekufa kwa ugonjwa gani...
Ngoja Samia aingie kazini na ugali wa watu Kama wewe utaishia hapo.
Samia hahitaji utete wa wanaadam wapumbafu
Anahitaji utetezi wa Mungu.
Ni mchaji kwa vitendo siyo maneno
 
Back
Top Bottom