Tumeudharau ugonjwa wa Corona kwa kukosa Maarifa na itakuwa inaondoa mmoja mmoja?

Tumeudharau ugonjwa wa Corona kwa kukosa Maarifa na itakuwa inaondoa mmoja mmoja?

Ila Kuna watu walikimbia bungeni kwa kuogopa Corona halafu wakafanya kampeni bila barakoa Wala tahadhar you're.
Khofu yao ilikuwa ni baada ya Kifo cha Ndassa

Ila huu mziki wa sasa tusiufanyie siasa
 
Ila Mungu atusaidie tu kama Wazungu pamoja na tahadhari zote zile ila bado Wana kufa sisi tuna jipya gani ambalo wao hawajalifanya na jinsi walivyo makini ila bado linawachachafya. Kwa kweli mungu aingikie kati
 
Ila Kuna watu walikimbia bungeni kwa kuogopa Corona halafu wakafanya kampeni bila barakoa Wala tahadhar you're.

Ila mungu atusaidie tu Kama wazungu pamoja na tahadhari zote zile ila bado Wana kufa sisi tuna jipya gani ambalo wao hawajalifanya na jinsi walivyo makini ila bado linawachachafya. Kwa kweli mungu aingikie kati
Wazungu wanakufa kwasababu walipuuzia na wanaishi maisha marefu
 
Naona huko msibani karibu wote hawajavaa barakoa, tujiandae
 
Matanzania majinga sana ni wazi huyu mzee alikuw mgonjwa yakamsikiliza mgonjwa.

Hata kupendelea chato alikuwa anaumwa siyo yeye.ule ufanyaji kazi ilikuwa kesha kata net work...

Rais alikuwa mgonjwa mliongozwa na mgonjwa wa mwili na akili. Alikuwa halali yule kutwa kucha anahangaika na moyo. Ndo maana alikuwa na hasira mno.
Dodoma mmeburuzwa tu
 
Hao wazungu wenyewe pamoja na tahadhari kibao, lockdown ndo wanaoongoza kwa kufa, hebu vibaraka mtuache kdg
 
Matanzania majinga sana ni wazi huyu mzee alikuw mgonjwa yakamsikiliza mgonjwa.

Hata kupendelea chato alikuwa anaumwa siyo yeye.ule ufanyaji kazi ilikuwa kesha kata net work...

Rais alikuwa mgonjwa mliongozwa na mgonjwa wa mwili na akili. Alikuwa halali yule kutwa kucha anahangaika na moyo. Ndo maana alikuwa na hasira mno.
dodoma mmeburuzwa tu
We kisister una mihasira sanaa na shujaa wa Afrika hebu katunze ndoa yako, labda nawewe umeshiriki.
 
ni kweli mkuu, Ila kwa hekima ya mama sidhani kama atakuja kuwasilikiza waganga njaa huku.
Atakaekufa ni yeye, sisi tunacholalamika ni gharama za kutembeza miili ya maraisi waliokufa

Fedha za kodi tunakamuliwa sisi eti.
 
Atakaekufa ni yeye, sisi tunacholalamika ni gharama za kutembeza miili ya maraisi waliokufa

Fedha za kodi tunakamuliwa sisi eti.
Hizo fedha si alizikusanya mwenyewe, acha zitumike maana alizikusanya kwaakili yake.
 
Atakaekufa ni yeye, sisi tunacholalamika ni gharama za kutembeza miili ya maraisi waliokufa

Fedha za kodi tunakamuliwa sisi eti.
Kuna watu watakuja kujuta kwa yale wanayoyafanya, kwa nchi. Watakosa hadi pa kukimbilia hakika.
 
Kwa hiyo tuendelee kusubiri mwezi wa ngapi ndio corona itatufagia? Tulibiwa tutadondoka kama kuku wewe kideri....muda hujafika tu?
Korona inafyeka wamarekani wenye chanjo na barakoa na social distance kuliko changanyikeni ya tz...
Nashauri wewe vaa barakoa
Afadhari Wamarekani wanatoa takwimu za maambukizi ya Covid-19,sasa huku tangu April mwaka jana,hatujatoa takwimu zozote kuhusiana na maambukizi ya Covid-19.
Kwa hiyo unatambuaje kama wao wameathirika kuliko sisi?.
Maanake Tanzania hata kutaja neno Corona ni kama siri fulani vile,badala yake umeanzishwa msamiati wa changamoto za kupumua au nemonia.
 
Back
Top Bottom