Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Kwani umetishika ukiwa
Una wasiwasi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani umetishika ukiwa
Chukua na hiyo Ndege iliyombeba rais wa Iran Ebrahim Raisi yaangukaAcha kutisha watu .
Are you sure the so called "Mwamba" was clean ? What kind of clearness dou you mean. ?JPM aliwatukana kwa sababu he was clean..
Sasa huyu anawatukana meanwhile ana makandokando kila mahali..
It is too late kufuata nyayo za mwamba..
Hakuna mfalme asiye na makandokando, ila aina ya makandokando ya mwamba yaliwafanya whites washindwe kumchafua.Are you sure the so called "Mwamba" was clean ? What kind of clearness dou you mean. ?
Watusaidieje wakati tunataka kuibiwa kura? Si watu wakitoa maoni tuwe na katiba mpya na kupunguza madaraka ya wenye mamlaka ili kuongeza ufanisi katika utendaji wa serikali na upatikanaji wa haki tunasema siyo issue, tunachotaka ni chakula na watoto kwenda shule, ikiwa na maana kwamba mambo yaendelee kama yalivyo?Ni wajinga tu,mbona huwa hawatusaidii kura zinapoibiwa wazi wazi
I don't like white people or any evil person in this planet. White, black, or any color for killing abusing, putting in prison, torture, robbing extra.Hakuna mfalme asiye na makandokando, ila aina ya makandokando ya mwamba yaliwafanya whites washindwe kumchafua.
Tena huyu bibi watammalizw kupitia handbag, mitandio ama simu yake tu
Ni wajinga tu,mbona huwa hawatusaidii kura zinapoibiwa wazi wazi
All tyranny and bully leader or investor or any decision maker in this world, to me is an evil and they will be accountable before God in the judgement day.Hakuna mfalme asiye na makandokando, ila aina ya makandokando ya mwamba yaliwafanya whites washindwe kumchafua.
All tyranny and bully leaders, investor, soldiers, any decisions makers, to me are evils, if they kill, abuse, torture, rob, put into prison, whether they are black or white and all kinds of colors .And they will be accountable before the judgement day of God in this arrogant world.Hakuna mfalme asiye na makandokando, ila aina ya makandokando ya mwamba yaliwafanya whites washindwe kumchafua.
Endeleeni kujivimbishana vichwa msije kusema hatukuwambiaHao nao wapuuzi tu kama wapuuzi wengine.Wasitupangie cha kufanya
According to our culture in Tanzania, no one can dare to topple our country.Endeleeni kujivimbishana vichwa msije kusema hatukuwambia
JambaziJPM aliwatukana kwa sababu he was clean..
Sasa huyu anawatukana meanwhile ana makandokando kila mahali..
It is too late kufuata nyayo za mwamba..
Kwa speech ile tumewachokoza wenyewe.
Hapa duniani kuna mashirika makubwa ya kijasusi ambayo yakihitaji kitu au kumhitaji mtu popote pale hayashindwi.
1. CIA - Shirika la kijasusi la Marekani.
2.Mossad - Shirika la kijasusi la Israel.
3. M16 - Shirika la kijasusi la Uingereza.
4. KGB - Shirika la kijasusi la Urusi.
5. ISI - Shirika la kijasusi la Pakstani.
Usijichanganye nayo pamoja na tofauti zao huwa yanabadilishana taarifa. Muulize Yericko Nyerere.
Ishu ya tukio la Tigo - Serikali ya Tanzania - Lissu kuvuja ni tone tuu kati ya mengi yatakayo vuja ikiwa tutaendelea kuwachokoza, tusije kushangaa hata makubaliano ya kuuzwa kwa bandari kwa DP-World na kuuzwa kwa Loliondo kwa falme za kiarabu yatavuja kama kutakuwa na kesi zitakazofunguliwa, nani alihusika nani alipata nini kwa maslahi ya nani. Tuwe waangalifu na kile tunachoongea hasa kuwahusu hawa wazungu.
Cc. Mugabe na Zimbabwe.
Mzee wa Vijisenti yupo kimya sana !UNAKUMBUKA issue ya fedha za rada ilibumburukia huko huko kwa king chalz...
UNAKUMBUKA issue ya fedha za rada ilibumburukia huko huko kwa king chalz...
Kwenye hili Bashite hawezi kujisafisha inawezekana ndiye aliyekuwa anapewa info za Tigo. Wazungu sio wajinga kumpiga marufuku kukanyaga kwao,He was never clean, kwani hayo ya Tundu Lissu ni kipindi gani? Halafu akaanza kuwatukana na kusahau kwamba anatembea na pager.
Kuna videos za bashite akinyang'anya uhai wa watu ni za wakati gani?
Bashite mwenyewe alishataka kukumbia nyi akaishi kama asylee lakini akatoswa unadhani alitoswa kwa ajili ya mambo gani? Aliyoyafanya wakati gani?