Tumeyataka wenyewe, ukiwa kwenye nyumba ya vioo usianze kurusha mawe

1. CIA - Shirika la kijasusi la Marekani.
2.Mossad - Shirika la kijasusi la Israel.
3. M16 - Shirika la kijasusi la Uingereza.
4. KGB - Shirika la kijasusi la Urusi.
5. ISI - Shirika la kijasusi la Pakstani.
Usijichanganye nayo pamoja na tofauti zao huwa yanabadilishana taarifa. Muulize Yericko Nyerere.
Usicheze na hayo mashirika yanaweza kukuua kwa simu yako (pager) ukiwa shambani mwanerumango.
 
Hahahahaaaaaaa!
Dua za nyumbu bwana, zinashangaza na kuchekwsha wakati huo huo!!!!
 
Kwa speech ile tumewachokoza wenyewe.

Hapa duniani kuna mashirika makubwa ya kijasusi ambayo yakihitaji kitu au kumhitaji mtu popote pale hayashindwi.

1. CIA - Shirika la kijasusi la Marekani.
2.Mossad - Shirika la kijasusi la Israel.
3. M16 - Shirika la kijasusi la Uingereza.
4. KGB - Shirika la kijasusi la Urusi.
5. ISI - Shirika la kijasusi la Pakstani.
Usijichanganye nayo pamoja na tofauti zao huwa yanabadilishana taarifa. Muulize Yericko Nyerere.

Ishu ya tukio la Tigo - Serikali ya Tanzania - Lissu kuvuja ni tone tuu kati ya mengi yatakayo vuja ikiwa tutaendelea kuwachokoza, tusije kushangaa hata makubaliano ya kuuzwa kwa bandari kwa DP-World na kuuzwa kwa Loliondo kwa falme za kiarabu yatavuja kama kutakuwa na kesi zitakazofunguliwa, nani alihusika nani alipata nini kwa maslahi ya nani. Tuwe waangalifu na kile tunachoongea hasa kuwahusu hawa wazungu.

Cc. Mugabe na Zimbabwe.
Kuna wakati fulani udadisi wangu ulinifanya nipate muda wa kusoma jinsi CIA, KGB na Mossad zilivyoanzishwa baada ya vita kuu ya kwanza na ya pili ya Dunia.

Haya matatu (CIA,KGB na Mossad) ndo yenye hati miliki ya ujasusi kwa sasa Duniani na hayo mashirika mengine uloyataja yote yalianzishwa kwa kufuata misingi ya hayo matatu.

Na jambo la kushangaza ni kwamba nyuma ya pazia mashirika haya hushirikiana kama kawaida!

Na walokifanya Mossad Ijumaa ile pale Lebanon ndio yalihitimisha kwamba haya mashirika si kama mgambo wa mitaani.

Kuna mambo fulani wamefanya yamenitisha sana.
 
Ishu ilianzia huko huko mjini London sisi tulishindwa wakatusaidia kuwajua kina Chenge waliosainishana mikataba hotelini.
Watu wanaiba na wwnaolinda nchi wako kimya mpaka mzungu atusaidie
 
Kwa speech ile tumewachokoza wenyewe.

Hapa duniani kuna mashirika makubwa ya kijasusi ambayo yakihitaji kitu au kumhitaji mtu popote pale hayashindwi.

1. CIA - Shirika la kijasusi la Marekani.
2.Mossad - Shirika la kijasusi la Israel.
3. M16 - Shirika la kijasusi la Uingereza.
4. KGB - Shirika la kijasusi la Urusi.
5. ISI - Shirika la kijasusi la Pakstani.
Usijichanganye nayo pamoja na tofauti zao huwa yanabadilishana taarifa. Muulize Yericko Nyerere.

Ishu ya tukio la Tigo - Serikali ya Tanzania - Lissu kuvuja ni tone tuu kati ya mengi yatakayo vuja ikiwa tutaendelea kuwachokoza, tusije kushangaa hata makubaliano ya kuuzwa kwa bandari kwa DP-World na kuuzwa kwa Loliondo kwa falme za kiarabu yatavuja kama kutakuwa na kesi zitakazofunguliwa, nani alihusika nani alipata nini kwa maslahi ya nani. Tuwe waangalifu na kile tunachoongea hasa kuwahusu hawa wazungu.

Cc. Mugabe na Zimbabwe.
Mungu Wabariki Wazungu
 
Kwani London ni mbinguni bwashee?

Hapo London kuna TAWI la CCM na kuna miamba ina connection hatari 😂😂😂

Wewe unaamini Mbowe alifika Magomeni kwa Ujanja Ujanja wake? 🐼😃
CCM ina mizizi mirefu kwa kweli, hadi sasa wako kimya sana ingawaje nao wanatakiwa kutoa kauli- je serikali yao ni hatari kwa kuomba data na kuwasurubisha wao ipinga? nao waje wakanushe.
 
Tuliwaonya wakati wa Magufuli mkatucheka tunawaambia tena wazungu sio wenzenu chekeni. Nyie mna kina Mafwele wenzenu wana Mossad.
Mafweke hafui dafu kwa hawa wazungu, wakimtaka hata yeye wanamdaka tu kama mwewe, kazi yake ni kuwaonea vifaranga...
 
Kuna wakati fulani udadisi wangu ulinifanya nipate muda wa kusoma jinsi CIA, KGB na Mossad zilivyoanzishwa baada ya vita kuu ya kwanza na ya pili ya Dunia.

Haya matatu (CIA,KGB na Mossad) ndo yenye hati miliki ya ujasusi kwa sasa Duniani na hayo mashirika mengine uloyataja yote yalianzishwa kwa kufuata misingi ya hayo matatu.

Na jambo la kushangaza ni kwamba nyuma ya pazia mashirika haya hushirikiana kama kawaida!

Na walokifanya Mossad Ijumaa ile pale Lebanon ndio yalihitimisha kwamba haya mashirika si kama mgambo wa mitaani.

Kuna mambo fulani wamefanya yamenitisha sana.
UKitaka kujua yanashirikiana fuatilia kesi za Julian Assange wa WikiLeaks, Bin Laden.
 
Hiyo nafahamu walishirikiana sana.

Bin Laden ndo ilikuwa rahisi sana maana ISI walishirikishwa kindakindaki.
 
Kwa speech ile tumewachokoza wenyewe.

Hapa duniani kuna mashirika makubwa ya kijasusi ambayo yakihitaji kitu au kumhitaji mtu popote pale hayashindwi.

1. CIA - Shirika la kijasusi la Marekani.
2.Mossad - Shirika la kijasusi la Israel.
3. M16 - Shirika la kijasusi la Uingereza.
4. KGB - Shirika la kijasusi la Urusi.
5. ISI - Shirika la kijasusi la Pakstani.
Usijichanganye nayo pamoja na tofauti zao huwa yanabadilishana taarifa. Muulize Yericko Nyerere.

Ishu ya tukio la Tigo - Serikali ya Tanzania - Lissu kuvuja ni tone tuu kati ya mengi yatakayo vuja ikiwa tutaendelea kuwachokoza, tusije kushangaa hata makubaliano ya kuuzwa kwa bandari kwa DP-World na kuuzwa kwa Loliondo kwa falme za kiarabu yatavuja kama kutakuwa na kesi zitakazofunguliwa, nani alihusika nani alipata nini kwa maslahi ya nani. Tuwe waangalifu na kile tunachoongea hasa kuwahusu hawa wazungu.

Cc. Mugabe na Zimbabwe.
Uyo Yericko Nyerere mnam-overate tu, hana maajabu yoyote kwenye anga za kijasusi. Kile kitabu chake tu ujasusi wa kidola ni copy and paste ya maandiko ya habibu Anga, zamani alikua anajiita the bold hapa jf
 
mbona kwenye listi sijawaona TISS
 
Uyo Yericko Nyerere mnam-overate tu, hana maajabu yoyote kwenye anga za kijasusi. Kile kitabu chake tu ujasusi wa kidola ni copy and paste ya maandiko ya habibu Anga, zamani alikua anajiita the bold hapa jf
Zile jitihada za kusoma, kunakili jambo fulani na kuli hariri kunampa maarifa na uelewa wa hilo jambo kuliko mtu asiyesoma vitabu.
 
JPM aliwatukana kwa sababu he was clean..

Sasa huyu anawatukana meanwhile ana makandokando kila mahali..

It is too late kufuata nyayo za mwamba..
Na hiyo iko hivyo kwa watu wengi, mkizinguana tu anafunua mambo yako ya nyuma yenye hisia mbaya kama anayajua... Lakini hiyo si jambo zuri kwa kweli.
 
Back
Top Bottom