Tumeyataka wenyewe, ukiwa kwenye nyumba ya vioo usianze kurusha mawe

Are you sure the so called "Mwamba" was clean ? What kind of clearness dou you mean. ?
Hakuna mfalme asiye na makandokando, ila aina ya makandokando ya mwamba yaliwafanya whites washindwe kumchafua.
 
Ni wajinga tu,mbona huwa hawatusaidii kura zinapoibiwa wazi wazi
Watusaidieje wakati tunataka kuibiwa kura? Si watu wakitoa maoni tuwe na katiba mpya na kupunguza madaraka ya wenye mamlaka ili kuongeza ufanisi katika utendaji wa serikali na upatikanaji wa haki tunasema siyo issue, tunachotaka ni chakula na watoto kwenda shule, ikiwa na maana kwamba mambo yaendelee kama yalivyo?
 
Hakuna mfalme asiye na makandokando, ila aina ya makandokando ya mwamba yaliwafanya whites washindwe kumchafua.
I don't like white people or any evil person in this planet. White, black, or any color for killing abusing, putting in prison, torture, robbing extra.
 
Hao nao wapuuzi tu kama wapuuzi wengine.Wasitupangie cha kufanya
 
Hakuna mfalme asiye na makandokando, ila aina ya makandokando ya mwamba yaliwafanya whites washindwe kumchafua.
All tyranny and bully leader or investor or any decision maker in this world, to me is an evil and they will be accountable before God in the judgement day.
Hakuna mfalme asiye na makandokando, ila aina ya makandokando ya mwamba yaliwafanya whites washindwe kumchafua.
All tyranny and bully leaders, investor, soldiers, any decisions makers, to me are evils, if they kill, abuse, torture, rob, put into prison, whether they are black or white and all kinds of colors .And they will be accountable before the judgement day of God in this arrogant world.
 

1. CIA - Shirika la kijasusi la Marekani.
2.Mossad - Shirika la kijasusi la Israel.
3. M16 - Shirika la kijasusi la Uingereza.
4. KGB - Shirika la kijasusi la Urusi.
5. ISI - Shirika la kijasusi la Pakstani.
Usijichanganye nayo pamoja na tofauti zao huwa yanabadilishana taarifa. Muulize Yericko Nyerere.
 
Kwenye hili Bashite hawezi kujisafisha inawezekana ndiye aliyekuwa anapewa info za Tigo. Wazungu sio wajinga kumpiga marufuku kukanyaga kwao,

Maza kamrudisha wakati wazungu hawajamalizana naye. Bashite alimchafua Mwendazake kaanza kumchafua na Maza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…