Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 997
- 1,220
Kamwe nyumbu hawezi kufikiri sawasawa. Mliwazalo au mliombalo halipo. Kauli za kwenye majukwaa ni za kawaida tu hizo na Wana mikutano na maeneo yao wanakutana na kufanya 'reconciliation'. We kalagha bao!!Tuliwaonya wakati wa Magufuli mkatucheka tunawaambia tena wazungu sio wenzenu chekeni. Nyie mna kina Mafwele wenzenu wana Mossad.
Ni mjanja janja fulani wa mjini ametumia content ya ujasusi kujibrand, but he is not that compentence in that fieldZile jitihada za kusoma, kunakili jambo fulani na kuli hariri kunampa maarifa na uelewa wa hilo jambo kuliko mtu asiyesoma vitabu.
Kwani huyu hangaya whites wamemchafua wapiHakuna mfalme asiye na makandokando, ila aina ya makandokando ya mwamba yaliwafanya whites washindwe kumchafua.
Hakimu anayeendesha hiyo kesi kasema mwanzo ilikuwa ikiendeshwa kwa code kuanzia sasa wataanza kuwataja wahusika kwa majina.Ameyataka mwenyewe yaliyofanyika sirini sasa yatahubiriwa juu ya majukwaa hakuna namna dunia ijue
Magu kivipi alikuwa clean wakati huo mvujo unatokana na yale yaliyifanywa kipindi cha utawala wakr?JPM aliwatukana kwa sababu he was clean..
Sasa huyu anawatukana meanwhile ana makandokando kila mahali..
It is too late kufuata nyayo za mwamba..
SawaKamwe nyumbu hawezi kufikiri sawasawa. Mliwazalo au mliombalo halipo. Kauli za kwenye majukwaa ni za kawaida tu hizo na Wana mikutano na maeneo yao wanakutana na kufanya 'reconciliation'. We kalagha bao!!
Haya. Salaam nyingi kwa mbowe na lissuSawa
Msalimie Mafwele mwambie watanzania tupo zaidi ya milioni 60 hatotumaliza kabla ya yeye kufa.Haya. Salaam nyingi kwa mbowe na lissu
Mafwele haangaiki na watanzania, anahangaika na vinabo flani hivi vya mbowe na lissu........,havifiki hata 100.Msalimie Mafwele mwambie watanzania tupo zaidi ya milioni 60 hatotumaliza kabla ya yeye kufa.
Wakusaidie wakati huo wewe mwenyewe upo kitandani, hakuna cha maana unachofanya kupigania haki yako. Hopeless.Ni wajinga tu,mbona huwa hawatusaidii kura zinapoibiwa wazi waz
Hahaaa Samia slams US and Western countries ENOUGH is ENOUGH.Mungu Wabariki Wazungu
Kura ni maslahi yenu sio yao. Kenya zikiibiwa kura huwa wanasubiri mabeberu?Ni wajinga tu,mbona huwa hawatusaidii kura zinapoibiwa wazi wazi
Naona mnawatisha eatawala.Kwa speech ile tumewachokoza wenyewe.
Hapa duniani kuna mashirika makubwa ya kijasusi ambayo yakihitaji kitu au kumhitaji mtu popote pale hayashindwi.
1. CIA - Shirika la kijasusi la Marekani.
2.Mossad - Shirika la kijasusi la Israel.
3. M16 - Shirika la kijasusi la Uingereza.
4. KGB - Shirika la kijasusi la Urusi.
5. ISI - Shirika la kijasusi la Pakstani.
Usijichanganye nayo pamoja na tofauti zao huwa yanabadilishana taarifa. Muulize Yericko Nyerere.
Ishu ya tukio la Tigo - Serikali ya Tanzania - Lissu kuvuja ni tone tuu kati ya mengi yatakayo vuja ikiwa tutaendelea kuwachokoza, tusije kushangaa hata makubaliano ya kuuzwa kwa bandari kwa DP-World na kuuzwa kwa Loliondo kwa falme za kiarabu yatavuja kama kutakuwa na kesi zitakazofunguliwa, nani alihusika nani alipata nini kwa maslahi ya nani. Tuwe waangalifu na kile tunachoongea hasa kuwahusu hawa wazungu.
Cc. Mugabe na Zimbabwe.
Hakuna anayewatisha watende haki maana wanaweza kujidanganya kuwa wanayotenda gizani hayawezi kujulikanaNaona mnawatisha eatawala.