Tumezungukwa na majirani wanaotuangusha sana, yaani uchumi wa EAC yote ukijumuishwa haukaribii wa Nigeria

Tumezungukwa na majirani wanaotuangusha sana, yaani uchumi wa EAC yote ukijumuishwa haukaribii wa Nigeria

Kilichowapaisha Nigeria ni mafuta, ila hilo halifai kuwa kisingizio. Hapa EAC tunakwazwa na siasa duni na elimu duni pia. Wengi wa viongozi ambao tunawachagua hawataki kabisa kubadilika na nyakati. Miaka nenda miaka rudi wapo pale pale, wakifanya vitu vya kipumbavu.

Naona Kenya licha ya kukosa rasilimali nyingi, tofauti na wenzetu, bado tunachangia zaidi ya 1/3 ya uchumi wote wa jumuiya ya AM. Nchi moja tu kati ya saba! Kenya hoyeee! [emoji1139][emoji1139][emoji1139]
Huu ni upuzi, fikiria kabla ya kuandik, Tz ilifanya miradi mingap mikubwa swali kwanini GDP yetu ilikwama 65 for three yrs?...leo tunajikomba kidgo tuu tupo 77bil...tafakari
 
Unafananisha uchumi wa Nigeria na Turkey, wakati umesema mwenyewe hapo kwamba tofauti kati ya GDP zao ni karibia $200B? Hivi nyie mmefikia hata nusu tu ya hiyo $200B ndio uipuuze?
Wacha kujishika skio, wakati tumekwama 65bill siwalitu kwamisha wao, leo tupo 77bil kisa tunawalamba...nauhakika tupo zaidi ya hapo
 
Huu ni upuzi, fikiria kabla ya kuandik, Tz ilifanya miradi mingap mikubwa swali kwanini GDP yetu ilikwama 65 for three yrs?...leo tunajikomba kidgo tuu tupo 77bil...tafakari
Nimeitaja Tz wapi we kibwengo, kwenye hiyo comment yangu uliyoinukuu? Au umeumwa kwasababu nimeisifia nchi yangu? Unataka kubisha nikisema kwamba Kenya inachangia zaidi ya 1/3 ya uchumi wote wa jumuiya ya Afrika Mashariki? Leta takwimu zako tuzichambue.
 
Hapo naiona Ethiopia Ila ndio inaongoza raia kukimbia nchi yao
 
Wacha kujishika skio, wakati tumekwama 65bill siwalitu kwamisha wao, leo tupo 77bil kisa tunawalamba...nauhakika tupo zaidi ya hapo
Hongereni kwa uchumi wenu, wa 'zaidi ya hapo' na hongereni pia kwa kuwalamba. Ila hujafafanua tujue ni kina nani hao mliowalamba na mliwalamba sehemu zipi haswa. 😎
 
GDP ambayo ndio huwa inazungumziwa, tunaposema uchumi wa nchi fulani, ni pato la taifa jombaa. Pato la taifa ni thamani ya sokoni ya bidhaa na huduma zote za nchi fulani katika mwaka. Haijumuishi hayo unayoyazungumzia, kuhusu idadi ya watu. Idadi iwe ndogo au kubwa sio ishu na idadi ya watu ikiwa ya juu, haimaanishi kwamba GDP itakuwa hivyo hivyo.

Ulipotaja kuhusu idadi ya watu sikubisha, ndio maana nilikutajia per capita income nilipokunukuu. Nadhani sasa tumeelewana.

Labda kama haufahamu GDP inakokotolewa, ni bidhaa zinazouzwa / population, hivyo GDP haisemi chochote kuhusu utajiri wa nchi bali per capital income ndiyo unayopaswa kuangalia mfano India ina uchumi mkubwa kuliko Taiwan, lkn Taiwan is richer than India, China ina uchumi mkubwa kuliko tuseme France lkn France is richer than China kwa pato la mwananchi mmoja mmoja, ni kwamba tu China ina population kubwa hivyo ukigawanya namba unapata namba kubwa lkn income ya Mfanyakazi France ni kubwa sana kuliko China, …
 
Nimeitaja Tz wapi we kibwengo, kwenye hiyo comment yangu uliyoinukuu? Au umeumwa kwasababu nimeisifia nchi yangu? Unataka kubisha nikisema kwamba Kenya inachangia zaidi ya 1/3 ya uchumi wote wa jumuiya ya Afrika Mashariki? Leta takwimu zako tuzichambue.
We kichwa maji, mimi sishi kweny namba za GDP tu, nataka kuona mabadiliko ya kweli kwa ground...nyie km mna GDP kubwa kwanin mnaishi kifukara kuluko mTz?
 
Labda kama haufahamu GDP inakokotolewa, ni bidhaa zinazouzwa / population, hivyo GDP haisemi chochote kuhusu utajiri wa nchi bali per capital income ndiyo unayopaswa kuangalia mfano India ina uchumi mkubwa kuliko Taiwan, lkn Taiwan is richer than India, China ina uchumi mkubwa kuliko tuseme France lkn France is richer than China kwa pato la mwananchi mmoja mmoja
Safi, naona umerudi kwenye mkondo wenyewe. Mleta mada amezungumza kuhusu uchumi, sio jambo lingine.

*Alafu umenoa jombaa, GDP Nominal ikikokotwa idadi ya watu huwa haijumuishwi.
 
We kichwa maji, mimi sishi kweny namba za GDP tu, nataka kuona mabadiliko ya kweli kwa ground...nyie km mna GDP kubwa kwanin mnaishi kifukara kuluko mTz?
Kwa takwimu zipi? Labda ulizozitoa kwenye makalio yako. Per Capita Income(Av. ya pato la mtu mmoja mmoja kwa mwaka);
Kenya- $2,251
Tanzania- $1,260
 
Kwa takwimu zipi? Labda ulizozitoa kwenye makalio yako. Per Capita Income(Av. ya pato la mtu mmoja mmoja kwa mwaka);
Kenya- $2,251
Tanzania- $1,260
Mnatupiga almost double but hey we r doing good...tumetoka pabaya sana...mambo yakienda vizuri next Yr tunaingia kwenye $80+B ....wasiwasi wangu hao cote de voire na Ghana wanatupumulia sana
 
Sijui shida nini haswa, ilhali raslimali nyingi tu za kumwaga....

mmexport1651920532378-png.2215157
Kwann ulinganishe EAC na Nigeria? Ilifaa useme Kenya vs Nigeria ...kama gdp yao iko 510 uko lakini bado per capita mko almost sawa ur doing good no need to worry...Angalia Libya,South Africa, Egypt hao ndio real deal
 
Kwa takwimu zipi? Labda ulizozitoa kwenye makalio yako. Per Capita Income(Av. ya pato la mtu mmoja mmoja kwa mwaka);
Kenya- $2,251
Tanzania- $1,260
Swali apo kwenye $2251 against $1260....ww wa 2251 mpka leo unakufa njaaa, ivi dunia ya leo unaskia wakunya mnakula mafii sikitu cha ajabu sana ...alafu uko apa kuongea ujinga[emoji116]
JamiiForums-177011922.jpg
JamiiForums815577676.jpg
 
Mnatupiga almost double but hey we r doing good...tumetoka pabaya sana...mambo yakienda vizuri next Yr tunaingia kwenye $80+B ....wasiwasi wangu hao cote de voire na Ghana wanatupumulia sana
Mkuu huyo mghana hawezi tukuta na akitukuta ni ujinga kabisa , yani mtu ana debt 80% ya GDP yake....huyo ni baibai, ndio mana utaona alikuw na mwaka mzuri sn lkn sababu ya madeni ...yanamrudish nyuma
 
Mkuu huyo mghana hawezi tukuta na akitukuta ni ujinga kabisa , yani mtu ana debt 80% ya GDP yake....huyo ni baibai, ndio mana utaona alikuw na mwaka mzuri sn lkn sababu ya madeni ...yanamrudish nyuma
Na iwe hivyo..kumbe ni madeni Republic
 
Back
Top Bottom