Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
Huu ni upuzi, fikiria kabla ya kuandik, Tz ilifanya miradi mingap mikubwa swali kwanini GDP yetu ilikwama 65 for three yrs?...leo tunajikomba kidgo tuu tupo 77bil...tafakariKilichowapaisha Nigeria ni mafuta, ila hilo halifai kuwa kisingizio. Hapa EAC tunakwazwa na siasa duni na elimu duni pia. Wengi wa viongozi ambao tunawachagua hawataki kabisa kubadilika na nyakati. Miaka nenda miaka rudi wapo pale pale, wakifanya vitu vya kipumbavu.
Naona Kenya licha ya kukosa rasilimali nyingi, tofauti na wenzetu, bado tunachangia zaidi ya 1/3 ya uchumi wote wa jumuiya ya AM. Nchi moja tu kati ya saba! Kenya hoyeee! [emoji1139][emoji1139][emoji1139]