Tumia Email Hii Kuwajulisha CAF kuhusu tishio la Ugaidi Tanzania

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
Ndugu zangu Watanzania, kutokana na magaidi kadhaa ya CHADEMA kuendelea kukamatwa, nivema tuwajulishe CAF kuwa Tanzania si nchi salama tena kwa maandalizi ya AFCON.

Magaidi ya CHADEMA yanaweza kulipua timu zitakazokuja na wageni wengine waalikwa.

Tumia Email hii kuwaandikia CAF, attach ushahidi wa yale magaidi ya CHADEMA yaliyokamatwa pamoja na lile lihaini.

communications@cafonline.com

Nakala:

info@cafonline.com
 
Kinachotokea hapa ni msingi mzima wa hulka za kibinadamu,Cdm lengo ni kuona serekali iliyopo ina fail katika kila position,hulka hii mara nyingi ni hulka ya kichawi au binadamu mchawi asiyependa mwenzie asonge mbele,ni tabia inayokaa ndani ya mwili,nafsi na roho,ni uchawi kamili huu.hali hii hutupata pia katika maisha yetu ya kila siku wivu wachawi hujisumbua na maendeleo yako kwa lengo tu ili ushindwe na udondoke, labda niseme tu kwa CCM wameshindwa mapema sana!....kwa ccm watadondoka wao!,na kushindwa wao!
 
kwamba ccm ye anapenda cdm afaulu

kwamba aliye sema na kukamata magaidi ni chadema

anaye andaa watu wa chauma kusema heche kala hela ana roho ya malaika ila malaika mtoa roho

Yeyote mwenye akili timamu hawezi shabikia ustawi wa ccm
 
Tingisha Meza kwa tahadhari mkuu..ukimwaga hivyo vinywaji sidhani kama utaweza lipia ama itakugharimu kiliko uwezo wako
 
Stupid fish
 
kwamba ccm ye anapenda cdm afaulu

kwamba aliye sema na kukamata magaidi ni chadema

anaye andaa watu wa chauma kusema heche kala hela ana roho ya malaika ila malaika mtoa roho

Yeyote mwenye akili timamu hawezi shabikia ustawi wa ccm
Wanaokamatwa ni wale waliokuwa wanachochea uasi na maasi kwa kupitia mitandao,ulichokuwa ukichochea ndicho kitaamua aina ya kesi yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…