Tumia Email Hii Kuwajulisha CAF kuhusu tishio la Ugaidi Tanzania

Tumia Email Hii Kuwajulisha CAF kuhusu tishio la Ugaidi Tanzania

Kwasasa wanakamata magaidi wadogo wadogo ambao wanajionyesha mitandaoni na mitaani, kuna wale magaidi ambao hawataki kujionyesha popote hao ndio hatari...na kama wapo basi hatari , faya🔥
 
Mwenye uwezo wa kuandika ruksa.
Kama lugha ya malkia kipengele ChatGPT itoe msaada.
 
Acha kujidanganya wewe,vipi?Anayeua nduguzo nawe muue kwa uwezo wako.
Tuishi kwa upendo tu wote wauao ni kinyume na mapenzi ya MUNGU. Lakini kwa yote tunahitaji upendo zaid kuliko kisasi na chuki tuipende nchi yetu. Wale waliowaovu wakati wao wa kutwaliwa utakuwa karibu sana
 
Anzisha sinagogi.
 
Kuna muda ukiitafakari hii serikali na viongozi unaona kabisa kuna shida mahala, haiwezekani watu timamu kuwapa watu kesi za ugaidi halafu uje utuambie hali nchini ni shwari hakuna ugaidi, wao wenyewe kwa ujinga wao wanatengeneza taswira mbaya kwa taifa kwa ulevi wao wa madaraka uliopitiliza
 
Unaihujumu nchi yako mwenyewe kama sio matako wewe ni kitu gani ? Polisi wanaokamata kwa kesi za kizushi na wewe tofauti yenu nini? .Two wrongs don’t make a right
 
Back
Top Bottom