Tumia Email Hii Kuwajulisha CAF kuhusu tishio la Ugaidi Tanzania

Tupende nchi yetu wajameni

Mimi napenda CCM

CCM OYEEEEEEEE
 
Huu uzi umekaa kimtego..kwamba either wawaachie chadema waliokamatwa kwa ugaidi na ionekane hakuna ugaidi..au wahuni watume barua CAF kwamba TZ kuna magaidi😀😀😀..
Nyuma mtego mbele mtego...ukimwaga mboga namwaga ugali..usipomwaga mboga..naondoka na vyote
 
Mbona umeongea kwa uchungu sana? Utajifungua lini? Wewe lazima ni mnufaika wa mfumo..
 
Mrudisheni Polepole, rudisheni vijana mliowaua october 29.
 
Hakuna mtego wowote jomba US wakitaka kujua kama kuna magaidi watamtumia hata yule babu wa Namtumbo
 
✅️
Noted.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…