Tumia Email Hii Kuwajulisha CAF kuhusu tishio la Ugaidi Tanzania

Nchi yako kwanza Samia atapita Tanzania itabaki
 
Waende rwanda au burundi nchi ya tanzania ina magaidi balaa
magaidi ya kujitoa muhanga
kuna viashiria vya ugaidi na polisi tukuka wapo wamelala fo fofo!
 
#MODS NYUZI ZA AINA HII NI ZA KUFUTA IMMEDIATELY!,.....
255Fixer
 
Mkuu binafsi natofautiana na wewe.
Serekali ya CCM inaposema ugaidi huwa inalenga kufanikisha jambo fulani la kisiasa.
Kwa sasa walengwa ni Chadema. Ni kupitia hilo chaka la ugaidi kuna watanzania wenzetu watatekwa, watauliwa mali zao zitaharibiwa kazi zao zitavurugwa, kuna watakaonyanganywa uhuru wao kwa kuwekwa ndani, kuna yatima watazalishwa, wajane na wagane.............. CHADEMA nawaelewa sana wanalolifanya kwani kwa kufanya hivyo wanapigania uhai wao,mali zao, uhuru wao, familia zao.
CCM na serekali yake wajitafakari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…