Tumia lugha ya Hospitali Kuelezea Mahusiano yako ya Kimapenzi kwa sasa.

Tumia lugha ya Hospitali Kuelezea Mahusiano yako ya Kimapenzi kwa sasa.

Nilikuwa na demu kumla denda ilikuwa ni hapana ananukq mdomo hapendi kupiga mswaki mara Kwa mara anameno yametoka kisq kulq vitamu tamu, mara mishkaki, nilikuwa naukwepa mdomo kamq corona.

Siku hizi naona mijamaa imemshauri atafune sana mints mara Kwa mara.
 
Vipimo vyote havioneshi ugonjwa wowote Na Mpaka sasa kama madaktar hatujajua tatizo la mgonjwa, ningeshauri mjaribu Na upande wa pili we kama mtu mzima utakuwa umenielewa
 
Huu ugonjwa uliua watu 30 kwa wakati mmoja hapa hospitalini.
 
Back
Top Bottom