Tumia lugha ya Hospitali Kuelezea Mahusiano yako ya Kimapenzi kwa sasa.

Tumia lugha ya Hospitali Kuelezea Mahusiano yako ya Kimapenzi kwa sasa.

Figo zote zimefeli, tuangalie namna ya kumfanyia counselling ili aanze dialysis mara moja, hili litafanyika mara tatu kwa wiki, kila session ni masaa manne kwa maisha yake yote yaliyobaki hapa duniani.
 
Alihitaji chips haikusaidia, alihitaji savanna haikusaidia, alihitaji pesa pia haikusaidia. Sasa nasubiri kauli ya mwisho ya madaktari
 
Kila akila anatapika inabidi abadilishiwe dawa ya kumfanya chakula kikae.
 
Kwa upande wetu madaktari tumejitahidi kufanya kila lililondani ya uwezo wetu, sasa mengine tumwachie Mungu.
 
mgonjwa wako ana kansa ya koo stage 3.... final report inaonesha amebaki na siku chache za kuwa naye. I am very sorry
 
Back
Top Bottom