Mi mbona nimuumini mzuri tu
Ila unampima Mungu tu sio😊Mi mbona nimuumini mzuri tu
Ila unampima Mungu tu sio😊
Hakuna imani ya siriMimi imani yangu cha kwanza ni siri.
sasa mkuu kama mnatwangwa maswali na mnapiga blah blah tufanyaje 🤣
Mkibanwa kidogo mnaenda kwenye freewill 🤣
Au nikuulize swali la kidhahania?
Ahsante sana mkuuHakuna imani ya siri
Mtamuuliza mwenyewe bn..
Usiniulize tafadhali 😁
🤝🏽Ahsante sana mkuu
Imani ni changa la macho hapo utaambiwa anaeomba Mungu kamjibu kwa atheist kutengeneza Raft( tenge)
View attachment 3549762
Kama ana make sense hivi😃Imani ni changa la macho hapo utaambiwa anaeomba Mungu kamjibu kwa atheist kutengeneza Raft( tenge)
View attachment 3549762
Seran jibu hili hapa katoa jamaa.Hakuna anae pinga hilo , shida inakuja pale watu wa imani wanapodai imani zao ndio ukweli na uhakika wa mambo, hakuna mtu anamzuia mtu kuamini mambo yake .
Ndio maama hakuna anaekwenda huko makanisani kwenu kuwapinga kwa chochote, ila ukiweka humu lazima uombwe uthibitisho wa madai yako.
Fallacy of generalization/hastImani ni changa la macho hapo utaambiwa anaeomba Mungu kamjibu kwa atheist kutengeneza Raft( tenge)
View attachment 3549762
Unajaribu kuzungumzia nini ? Nenda moja kwa moja kwenye point yakoFallacy of generalization/hast
Picha inasema Atheist anafanya kazi, mwenye imani anaomba tu.
Huu ni uongo usio na mantili.
1.wapo atheist wavivu wasiofanya kazi wanashinda vijiweni na wapo waofajyakazi.
Wapo wenye Imani wavivu wanashinda kanisani au misikitini hawafanyi kazi na wapo wanaofanya kazi Kwa bidii.
Na baadhi ya Imani mfano ya kikorosto inasistiza kupitia vitabu vyake na kwamba asiyefanyakazi na asile.
Tola uumbaji inasema mwanaume atakula Kwa jasho.
Sasa hiyo picha YAKO ina make sense?
Yeah kila mtu ana haki ya kuamini anavyotaka , ila ukitaka wengine waamini unavyo amini wewe lazima uhojiwe kwa kina
Imani zinaweza kukupiga changa la macho mpaka ukashangaaKama ana make sense hivi😃
Soma tena na tena utaelewaUnajaribu kuzungumzia nini ? Nenda moja kwa moja kwenye point yako
Sjaona hoja yako ni ipi hapoSoma tena na tena utaelewa