Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Inawezekana una kaela kadogo; labda umepata kama mshahara, au kuuza kitu n.k, na ungependa pesa yako ikuzalishie na isipotee.
Unaweza ukawekeza kwenye haya makundi:-
Unaweza ukawekeza kwenye haya makundi:-
- Wauza mishikaki
- Wauza matunda
- Mama ntilie
- Tembelea hayo makundi hapo juu
- Tathmini mauzo yao kwa siku
- Kwa wale wenye mauzo mazuri, ingia nao makubaliano ya kuongeza 'stock' huku mkigawana faida 50/50
- Usiwape fedha, we wapelekee mzigo
- Kama utawapata wengi, na faida pia itakuwa kubwa.
- Kwa namna moja ama nyingine, unakuwa umemuajiri bila yeye kujua.