Tumia pesa yako ndogo watu wakufanyie kazi

Tumia pesa yako ndogo watu wakufanyie kazi

Uaminifu ni F mkuu. Na kibaya zaidi pesa haijaandikwa kua hii ni ya boss hii ni ya nyumbani hii ni ya mtaji, ila mtumiaji ndo mpangaji wa wapi pesa yake iende!!.

Kwahiyo usijekupigwa na butwaa kuambiwa mama alikua mgonjwa, mtoto kalazwa n.k
 
Uaminifu ni F mkuu.
Na kibaya zaidi pesa haijaandikwa kua hii ni ya boss hii ni ya nyumbani hii ni ya mtaji, ila mtumiaji ndo mpangaji wa wapi pesa yake iende!!.

Kwahiyo usijekupigwa na butwaa kuambiwa mama alikua mgonjwa, mtoto kalazwa n.k
Inabidi pale mwanzoni mwa makubaliano, mambo myaweke sawa
 
Uaminifu ni zero siku hizi, Ukifanya hivyo unajitafutia tu Stress, Bora pesa yako weka Bank tu aise
Kuweka bank ni safe ila kwa uchumi huu wa Tanzania vitu vinavopanda bei hela inazidi kushuka thamani ..so kivyovyote ni muhimu kuwekeza
 
Back
Top Bottom