Tumpe Faraja Rais Samia kwa namna anavyofanya kazi bila kupumzika wala kukaa kwa ajili yetu Watanzania

Anavuta mshahara wa $45000+ kwa mwezi bila kodi halafu unaleta story za faraja?

Tukianza kusema kila mtu afarijiwe kutokana na kazi ngumu tutakuwa na taifa la faraja sasa bila kufanya kazi .
45m + duh !! Kwa kweli wapo watu wanatumbua maisha duniani !!
 
Hali ya uchumi inaendelea kuimarishwa na mh Rais kwa kuchukua hatua mbalimbali Kama unavyoona,

Hali ya uchumi Ni wakidunia na siyo Tanzania tu, na hii imetokana na Corona ambayo iliyumbisha uchumi wa Dunia kwa kuwa shughuli za kiuchumi zilisimama ikiwepo kufungwa kwa baadhi ya viwanda,

Kabla uchumi haujarejea katika Hali yake ya kawaida ikaingia Vita ya ukrein iliyumbisha pia uchumi wa Dunia, hasa kwa kupelekea mfumuko wa Bei hasa mafuta ambayo Ni injini ya uchumi, hata hivyo hapa Rais amechukua juhudi za kuweka Ruzuku

Pia nh Rais ameboresha maslahi ya watumishi wa umma ikiwepo mwaka huu kwa kuongeza 23%, ambapo watumishi wa kipato Cha chini wamefaidika Sana, na Ataendelea kufanya hivyo kadri uchumi utakavyo ruhusu

Kuhusu demokrasia anafanya vyema ambapo kesi nyingi za kisiasa zimefutwa na watu kuwa huru, vyombo vya habari Kama magazeti yaliyokuwa yamefungiwa yamefunguliwa na kupewa leseni Tena

Pia mh Rais amekutana na viongozi wa vyama vya upinzani na kufanya nao mazungumzo wa namna Bora ya kushirikiana katika kujenga nchi yetu

Kiufupi mama yetu anafanya kazi iliyotukukabna anahitaji faraja na kuungwa mkono
 
Nilivyoona heading nikajua umeandika kitu cha maana kumbe ni hizi pumba haya wale wakusifu na kuabudu kazi kwenu.
Huwezi ukaona maana kazi za mh Rais zimewanyima ajenda na Sera kwa wananchi, wananchi wapo na mh Rais na tunaendelea kumuunga mkono mh Rais
 
Pamoja na kuzunguka kwake na maisha yamezid kuwa magumu bora apumzike na mumewe tu.
Huoni namna mh Rais anavyo pambana na mfumuko wa Bei unaoitesa Dunia kwa Sasa, huoni namna anavyo gusa kila secta kwa kuwekeza pesa ili kila eneo lisonge mbele kimaendeleo,

Kila eneo Ni Alama za mh Rais utazikuta
 
Kwani kwenye ndege huwa anaisukuma? Ile mikuku Kodi zetu anakula bado unaona huruma wewe toka kwa shemeji yako hapo
Li
 
Kwani kwenye ndege huwa anaisukuma? Ile mikuku Kodi zetu anakula bado unaona huruma wewe toka kwa shemeji yako hapo

Li
Kwani kazi anafanyia kwenye ndege, Ndege Ni chombo Cha usafiri kwa ajiri ya kufika mahali fulani, kwa hiyo acha mawazo hayo ya kizamani
 
Basi mtatumia nguvu kunipora kura yangu.

Mimi ni Mtanzania, naishi Tanzania na ukweli ninaujua kwa sababu ninauishi.

Hayo uliyoyasema ni upuuzi mtupu na mnamhadaa mama kwa kujifanya mna majibu ya kisiasa.

2025 haipo mbali sana. This time wanaCCM wengi tutapiga kura kupata chama .mbadala wa CCM
 
Hata mh Rais asipopigaa kampenii bado atapitaa tu bila shida yoyote,
 
Kwani kazi anafanyia kwenye ndege, Ndege Ni chombo Cha usafiri kwa ajiri ya kufika mahali fulani, kwa hiyo acha mawazo hayo ya kizamani
Mwambie Kama kachoka ajiuzuru ..ni Kodi zetu zinamlipa wala hakuna aliefosiwa siku anaapishwa angekataa pia bado hajachelewa
 

Ndo ujue viongozi wetu ni zero brain unatumia gharama za 200m kuzindua mradi wa 300m[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Anavuta mshahara wa $45000+ kwa mwezi bila kodi halafu unaleta story za faraja?

Tukianza kusema kila mtu afarijiwe kutokana na kazi ngumu tutakuwa na taifa la faraja sasa bila kufanya kazi .

Huu ndo mshahara wa rais?
 
Stupid dog [emoji240]
 
Kiherehere chake kuzunguka.
Yeye alitakiwa aelekeze tu
 
Lucas wewe ni MTU wa Mbeya?!
Mwambie Kama kachoka ajiuzuru ..ni Kodi zetu zinamlipa wala hakuna aliefosiwa siku anaapishwa angekataa pia bado hajachelewa

Kiherehere chake kuzunguka.
Yeye alitakiwa aelekeze tu
Baada ya maelekezo Kama Rais na kiongozi mkuu wa nchi na Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama lazima uende kuangalia na kufuatilia utekelezaji wa maagizo yako huko kwa wananchi,

Vile vile lazima uende ili kujuwa uhalisia wa Mambo na kuzungumza na wananchi, maana wananchi hawakuchagua hao unao watuma, hivyo lazima uruudi Tena kwa wananchi Kama ulivyo kwenda wakati wa kampenii ili uwaambie umetekeleza Nini na unatarajia kufanya Nini na kwa wakati gani
 
Sin haja ya kuweka namba ya simu maana Namuunga mkono mama yangu bila shuruti yoyote ile
Kumbe ni mama yako.sisi wengine kwetu ni rais anayepaswa kututumikia nasio kumpigia debe.Atapimwa kwakile alichoapa kutufanyia waajiri wake sio wingi wa mapambio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…