Tumpe Faraja Rais Samia kwa namna anavyofanya kazi bila kupumzika wala kukaa kwa ajili yetu Watanzania

Anavuta mshahara wa $45000+ kwa mwezi bila kodi halafu unaleta story za faraja?

Tukianza kusema kila mtu afarijiwe kutokana na kazi ngumu tutakuwa na taifa la faraja sasa bila kufanya kazi .
45m + duh !! Kwa kweli wapo watu wanatumbua maisha duniani !!
 
Faraja peke atakayopata kutoka kwangu ni kimueleza ukweli kwamba ANADANGANYWA vibaya mnoo na wasaidizi wake aliowateua.

Ukweli ni huu. Kadiri siku zinavyozidi kusonga mbele ndivyo anavyozidi kufutika kwenye mioyo ya wapigakura wengi. Sababu ni hizi
1. Hajali hali mbaya ya kiuchumi ya wananchi
2. Nyongeza ya mishahara iliyojaa ghiliba nyingi
3. Kutoukubali ukweli kwamba vita vya Ukraine siyo sababu kuu ya inflations
4. Wateule wake wanatoa matamko na hakuna tija yeyote
5. Kuendelea kuuminya upinzani hususan kutoruhusumikutano yao
6. Kuendelea kupambana na marehemu bafala ya kuyarekebisha yale anayoyaona yalikosewa
7. Tozozisizowianana vipato vya wananchi na visivyozingatia mzunguko wa fedha

mwambie mama kuwa hali ni mbaya na aeneelee kushikilia hapo hapo ili CCM iendelee kuporomoka kwa kasi ya jiwe kwenye maji
Hali ya uchumi inaendelea kuimarishwa na mh Rais kwa kuchukua hatua mbalimbali Kama unavyoona,

Hali ya uchumi Ni wakidunia na siyo Tanzania tu, na hii imetokana na Corona ambayo iliyumbisha uchumi wa Dunia kwa kuwa shughuli za kiuchumi zilisimama ikiwepo kufungwa kwa baadhi ya viwanda,

Kabla uchumi haujarejea katika Hali yake ya kawaida ikaingia Vita ya ukrein iliyumbisha pia uchumi wa Dunia, hasa kwa kupelekea mfumuko wa Bei hasa mafuta ambayo Ni injini ya uchumi, hata hivyo hapa Rais amechukua juhudi za kuweka Ruzuku

Pia nh Rais ameboresha maslahi ya watumishi wa umma ikiwepo mwaka huu kwa kuongeza 23%, ambapo watumishi wa kipato Cha chini wamefaidika Sana, na Ataendelea kufanya hivyo kadri uchumi utakavyo ruhusu

Kuhusu demokrasia anafanya vyema ambapo kesi nyingi za kisiasa zimefutwa na watu kuwa huru, vyombo vya habari Kama magazeti yaliyokuwa yamefungiwa yamefunguliwa na kupewa leseni Tena

Pia mh Rais amekutana na viongozi wa vyama vya upinzani na kufanya nao mazungumzo wa namna Bora ya kushirikiana katika kujenga nchi yetu

Kiufupi mama yetu anafanya kazi iliyotukukabna anahitaji faraja na kuungwa mkono
 
Nilivyoona heading nikajua umeandika kitu cha maana kumbe ni hizi pumba haya wale wakusifu na kuabudu kazi kwenu.
Huwezi ukaona maana kazi za mh Rais zimewanyima ajenda na Sera kwa wananchi, wananchi wapo na mh Rais na tunaendelea kumuunga mkono mh Rais
 
Pamoja na kuzunguka kwake na maisha yamezid kuwa magumu bora apumzike na mumewe tu.
Huoni namna mh Rais anavyo pambana na mfumuko wa Bei unaoitesa Dunia kwa Sasa, huoni namna anavyo gusa kila secta kwa kuwekeza pesa ili kila eneo lisonge mbele kimaendeleo,

Kila eneo Ni Alama za mh Rais utazikuta
 
Kwani kwenye ndege huwa anaisukuma? Ile mikuku Kodi zetu anakula bado unaona huruma wewe toka kwa shemeji yako hapo
Ndugu zangu Mh Rais mama Samia suluhu Hassani Ni mwanadamu mwenye damu na moyo na mwili wa nyama Kama Tulivyo sisi wengine.

Nikawaida kuona hata watumishi wa umma ikikaribia wikend wanafurahi ili wapate muda wa kupumzisha akili na hata kupata muda wa kukaa na Familia zao, kutokanaa na kazi za wiki nzima zinazowaweka bize na mbali na familia zao.

Ndugu zangu pamoja na kuwa mh Rais wetu Ni mwanadamu, Mama mwenye familia lakini ameamua kutumia nguvu zake zote na muda wake wote kututumikia watanzania kwa utumishi ulio tukuka.

Hana muda wakupumzika, Familia yake kwa Sasa Ni watanzania, watoto wake kwa Sasa Ni watanzania, wajukuu zake kwa Sasa Ni watanzania, Mawazo yake kwa Sasa yapo kwa watanzania tu.

Muda wote ukisikiliza vyombo vya habari au kupita vibanda umiza na kuchungulia TV unaona mh Rais wetu yupo kugusa maisha ya watu, yupo kutatua matatizo na kero, yupo kuzindua miradi ya maendeleo, yupo kutoa matumaini kwa waliokata tamaa, yupo kutoa majibu kwa maswali ya wananchi, yupo kutoa maelekezo kwa watendaji wake, yupo kuhoji juu ya matumizi ya Fedha za umma, yupo kuunganisha watu, yupo kuleta umoja kwa watumishi ili wawatumikie watu bila kiburi Wala majivuno, yupo kuwakumbusha watumishi kuwa vyeo Ni dhamana.

Ni mama kwa maama ya mama kweli kwelii, mlezi Bora ambaye anahitaji kuona Familia yake hii ya watanzania inaboreka siku Hadi siku.

Amedhamilia kuijenga Tanzania iliyo Bora ambayo kila mtu atafaidika na matunda yake, Anataka kuona keki ya Taifa inamfikia kila mtu, Hataki kuona Kuna watu au kundi linabaki nyuma na kujiona kutengwa, anataka kila mtu ajisikie fahari kuzaliwa katika nchi hii.

Anataka kuona mtu akienda hospitali anahudumiwa bila ubaguzi au Hali yake ya kiuchumi, Anataka kuona mwanafunzi aliyemaliza kidato Cha nne au sita anaendelea mbele bila kukwama au kukwamishwa na uchumi wa nyumbani, Ndio maana unaona ameweka Elimu bure Hadi kidato Cha sita na kuongeza bajeti katik Elimu ili wengi wapate mikopo vyuo vikuu.

Ndugu zangu kwa kazi hii kubwa aifanyayo mh Rais wetu tuna kila sababu ya Kuendelea kumtia moyo mh Rais wetu, Tuendelee kumwombea Rais wetu ili mwenyezi Mungu aendelee kumlinda na kumpigania wakati wote.

Uongozi unatoka kwa mungu, hivyo kwa wale wasaidizi wa mh Rais na watendaji wote mliobahatika kupata Nafasi ya kuwa serikalini, Nawaombeni mfanye kazi kwa uadilifu na weledi kuwatumikia watanzania, sisi watanzania hasa sisi vijana tunawategemea Sana mtusaidie.

Muwe wanyenyekevu wenye busara hekima na upendo kwetu, mtangulizeni mwenyezi Mungu katika kazi zenu, Tendeni haki kwa wote Kama anavyo sisitiza Rais wetu, Fanyeni kazi kwa bidii na kujituma kwa kuacha Alama njema hata Kama mtahamishwa kesho au kustaafu.

Ni Bora jina jema kuliko Mali nyingi, hivyo jengeni majina mema kwa kufanya kazi vyema kwa kugusa maisha ya watanzania.

Mimi Lucas Mwashambwa ninaungana na mamillion ya watanzania kumuombea mh Rais wetu katika majukumu yake ya Urais.
Li
 
Kwani kazi anafanyia kwenye ndege, Ndege Ni chombo Cha usafiri kwa ajiri ya kufika mahali fulani, kwa hiyo acha mawazo hayo ya kizamani
 
Hali ya uchumi inaendelea kuimarishwa na mh Rais kwa kuchukua hatua mbalimbali Kama unavyoona,

Hali ya uchumi Ni wakidunia na siyo Tanzania tu, na hii imetokana na Corona ambayo iliyumbisha uchumi wa Dunia kwa kuwa shughuli za kiuchumi zilisimama ikiwepo kufungwa kwa baadhi ya viwanda,

Kabla uchumi haujarejea katika Hali yake ya kawaida ikaingia Vita ya ukrein iliyumbisha pia uchumi wa Dunia, hasa kwa kupelekea mfumuko wa Bei hasa mafuta ambayo Ni injini ya uchumi, hata hivyo hapa Rais amechukua juhudi za kuweka Ruzuku

Pia nh Rais ameboresha maslahi ya watumishi wa umma ikiwepo mwaka huu kwa kuongeza 23%, ambapo watumishi wa kipato Cha chini wamefaidika Sana, na Ataendelea kufanya hivyo kadri uchumi utakavyo ruhusu

Kuhusu demokrasia anafanya vyema ambapo kesi nyingi za kisiasa zimefutwa na watu kuwa huru, vyombo vya habari Kama magazeti yaliyokuwa yamefungiwa yamefunguliwa na kupewa leseni Tena

Pia mh Rais amekutana na viongozi wa vyama vya upinzani na kufanya nao mazungumzo wa namna Bora ya kushirikiana katika kujenga nchi yetu

Kiufupi mama yetu anafanya kazi iliyotukukabna anahitaji faraja na kuungwa mkono
Basi mtatumia nguvu kunipora kura yangu.

Mimi ni Mtanzania, naishi Tanzania na ukweli ninaujua kwa sababu ninauishi.

Hayo uliyoyasema ni upuuzi mtupu na mnamhadaa mama kwa kujifanya mna majibu ya kisiasa.

2025 haipo mbali sana. This time wanaCCM wengi tutapiga kura kupata chama .mbadala wa CCM
 
Hata mh Rais asipopigaa kampenii bado atapitaa tu bila shida yoyote,
 
Kwani kazi anafanyia kwenye ndege, Ndege Ni chombo Cha usafiri kwa ajiri ya kufika mahali fulani, kwa hiyo acha mawazo hayo ya kizamani
Mwambie Kama kachoka ajiuzuru ..ni Kodi zetu zinamlipa wala hakuna aliefosiwa siku anaapishwa angekataa pia bado hajachelewa
 
Kwani anafanya kazi Bure?si tunamlipa mshahara?no tumempa na mamlaka ya kujipangia mshahara!

Anacho Fanya ni kuzurura tu,na kutumia pesa yetu vibaya!

Mosi,msafara wake unatumia magari Mengi na watendaji wengi wanaolipwa posho hapa hakuna tija, Raisi anaenda kuzindua chuo Cha uamiaji Tanga,sio kipya kipo muda mrefu,sasa anazindua nini!.

Pili kutoka Dom kwenda kuzindua barabara ya km 147 chunya!serious!
Waziri yupo,RC yupo,DC yupo,hizi ni safari zisizo na tija,zinatumia pesa Bure.

Anacho kijua kikubwa ni kuteua tu,hata majambazi yanapewa ulaji,Cha msingi yawe upande wa ccm.

Nchi Haina Raha, ukiwa mpinzani ni kusumbuliwa tu, Katiba mpya ije,Tume huru ije,tuwe na mfumo wa uchaguzi kama wa Kenya,hapo ndio atajua watz wapo upande gani.

Mwisho mwambie Raisi wako, aweke wazi mapato na matumizi ya filamu ya royal tour,nani alichanga na kiasi gani,na atuambie hizi ziara zake anatumia pesa kiasi gani.

Unachoma mafuta na pesa Kiasi Cha milioni 200,unaenda kuzindua barabara ya milioni 300!!wizi mtupu

Ndo ujue viongozi wetu ni zero brain unatumia gharama za 200m kuzindua mradi wa 300m[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndugu zangu Mh Rais mama Samia suluhu Hassani Ni mwanadamu mwenye damu na moyo na mwili wa nyama Kama Tulivyo sisi wengine.

Nikawaida kuona hata watumishi wa umma ikikaribia wikend wanafurahi ili wapate muda wa kupumzisha akili na hata kupata muda wa kukaa na Familia zao, kutokanaa na kazi za wiki nzima zinazowaweka bize na mbali na familia zao.

Ndugu zangu pamoja na kuwa mh Rais wetu Ni mwanadamu, Mama mwenye familia lakini ameamua kutumia nguvu zake zote na muda wake wote kututumikia watanzania kwa utumishi ulio tukuka.

Hana muda wakupumzika, Familia yake kwa Sasa Ni watanzania, watoto wake kwa Sasa Ni watanzania, wajukuu zake kwa Sasa Ni watanzania, Mawazo yake kwa Sasa yapo kwa watanzania tu.

Muda wote ukisikiliza vyombo vya habari au kupita vibanda umiza na kuchungulia TV unaona mh Rais wetu yupo kugusa maisha ya watu, yupo kutatua matatizo na kero, yupo kuzindua miradi ya maendeleo, yupo kutoa matumaini kwa waliokata tamaa, yupo kutoa majibu kwa maswali ya wananchi, yupo kutoa maelekezo kwa watendaji wake, yupo kuhoji juu ya matumizi ya Fedha za umma, yupo kuunganisha watu, yupo kuleta umoja kwa watumishi ili wawatumikie watu bila kiburi Wala majivuno, yupo kuwakumbusha watumishi kuwa vyeo Ni dhamana.

Ni mama kwa maama ya mama kweli kwelii, mlezi Bora ambaye anahitaji kuona Familia yake hii ya watanzania inaboreka siku Hadi siku.

Amedhamilia kuijenga Tanzania iliyo Bora ambayo kila mtu atafaidika na matunda yake, Anataka kuona keki ya Taifa inamfikia kila mtu, Hataki kuona Kuna watu au kundi linabaki nyuma na kujiona kutengwa, anataka kila mtu ajisikie fahari kuzaliwa katika nchi hii.

Anataka kuona mtu akienda hospitali anahudumiwa bila ubaguzi au Hali yake ya kiuchumi, Anataka kuona mwanafunzi aliyemaliza kidato Cha nne au sita anaendelea mbele bila kukwama au kukwamishwa na uchumi wa nyumbani, Ndio maana unaona ameweka Elimu bure Hadi kidato Cha sita na kuongeza bajeti katik Elimu ili wengi wapate mikopo vyuo vikuu.

Ndugu zangu kwa kazi hii kubwa aifanyayo mh Rais wetu tuna kila sababu ya Kuendelea kumtia moyo mh Rais wetu, Tuendelee kumwombea Rais wetu ili mwenyezi Mungu aendelee kumlinda na kumpigania wakati wote.

Uongozi unatoka kwa mungu, hivyo kwa wale wasaidizi wa mh Rais na watendaji wote mliobahatika kupata Nafasi ya kuwa serikalini, Nawaombeni mfanye kazi kwa uadilifu na weledi kuwatumikia watanzania, sisi watanzania hasa sisi vijana tunawategemea Sana mtusaidie.

Muwe wanyenyekevu wenye busara hekima na upendo kwetu, mtangulizeni mwenyezi Mungu katika kazi zenu, Tendeni haki kwa wote Kama anavyo sisitiza Rais wetu, Fanyeni kazi kwa bidii na kujituma kwa kuacha Alama njema hata Kama mtahamishwa kesho au kustaafu.

Ni Bora jina jema kuliko Mali nyingi, hivyo jengeni majina mema kwa kufanya kazi vyema kwa kugusa maisha ya watanzania.

Mimi Lucas Mwashambwa ninaungana na mamillion ya watanzania kumuombea mh Rais wetu katika majukumu yake ya Urais.
Stupid dog [emoji240]
 
Kiherehere chake kuzunguka.
Yeye alitakiwa aelekeze tu
 
Lucas wewe ni MTU wa Mbeya?!
Mwambie Kama kachoka ajiuzuru ..ni Kodi zetu zinamlipa wala hakuna aliefosiwa siku anaapishwa angekataa pia bado hajachelewa

Kiherehere chake kuzunguka.
Yeye alitakiwa aelekeze tu
Baada ya maelekezo Kama Rais na kiongozi mkuu wa nchi na Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama lazima uende kuangalia na kufuatilia utekelezaji wa maagizo yako huko kwa wananchi,

Vile vile lazima uende ili kujuwa uhalisia wa Mambo na kuzungumza na wananchi, maana wananchi hawakuchagua hao unao watuma, hivyo lazima uruudi Tena kwa wananchi Kama ulivyo kwenda wakati wa kampenii ili uwaambie umetekeleza Nini na unatarajia kufanya Nini na kwa wakati gani
 
Sin haja ya kuweka namba ya simu maana Namuunga mkono mama yangu bila shuruti yoyote ile
Kumbe ni mama yako.sisi wengine kwetu ni rais anayepaswa kututumikia nasio kumpigia debe.Atapimwa kwakile alichoapa kutufanyia waajiri wake sio wingi wa mapambio.
 
Back
Top Bottom