Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #81
Jana nimenunua mahindi ya njano kwa ajili ya uji wa mtoto 1kg=2,000 sio poa [emoji1316][emoji1316]
Ndio anachokifanya kwa Sasa ndio maana unaona namna Rais wetu anavyokwenda huku na huko kuonana na wananchi na kutatua kero, kuzindua miradi, kuweka mawe ya msingi, kujibu hoja na kero za wananchi na kuwaeleza watanzania juu ya mipango ya serikali yao katika Mambo mbalimbaliKumbe ni mama yako.sisi wengine kwetu ni rais anayepaswa kututumikia nasio kumpigia debe.Atapimwa kwakile alichoapa kutufanyia waajiri wake sio wingi wa mapambio.
Kufanya kazi bila kupumzika maana yake hana utaratibu maalumu wa kufanya kazi zake kwa mujibu wa sheria.Ndugu zangu Mh Rais mama Samia suluhu Hassani Ni mwanadamu mwenye damu na moyo na mwili wa nyama Kama Tulivyo sisi wengine.
Nikawaida kuona hata watumishi wa umma ikikaribia wikend wanafurahi ili wapate muda wa kupumzisha akili na hata kupata muda wa kukaa na Familia zao, kutokanaa na kazi za wiki nzima zinazowaweka bize na mbali na familia zao.
Ndugu zangu pamoja na kuwa mh Rais wetu Ni mwanadamu, Mama mwenye familia lakini ameamua kutumia nguvu zake zote na muda wake wote kututumikia watanzania kwa utumishi ulio tukuka.
Hana muda wakupumzika, Familia yake kwa Sasa Ni watanzania, watoto wake kwa Sasa Ni watanzania, wajukuu zake kwa Sasa Ni watanzania, Mawazo yake kwa Sasa yapo kwa watanzania tu.
Muda wote ukisikiliza vyombo vya habari au kupita vibanda umiza na kuchungulia TV unaona mh Rais wetu yupo kugusa maisha ya watu, yupo kutatua matatizo na kero, yupo kuzindua miradi ya maendeleo, yupo kutoa matumaini kwa waliokata tamaa, yupo kutoa majibu kwa maswali ya wananchi, yupo kutoa maelekezo kwa watendaji wake, yupo kuhoji juu ya matumizi ya Fedha za umma, yupo kuunganisha watu, yupo kuleta umoja kwa watumishi ili wawatumikie watu bila kiburi Wala majivuno, yupo kuwakumbusha watumishi kuwa vyeo Ni dhamana.
Ni mama kwa maama ya mama kweli kwelii, mlezi Bora ambaye anahitaji kuona Familia yake hii ya watanzania inaboreka siku Hadi siku.
Amedhamilia kuijenga Tanzania iliyo Bora ambayo kila mtu atafaidika na matunda yake, Anataka kuona keki ya Taifa inamfikia kila mtu, Hataki kuona Kuna watu au kundi linabaki nyuma na kujiona kutengwa, anataka kila mtu ajisikie fahari kuzaliwa katika nchi hii.
Anataka kuona mtu akienda hospitali anahudumiwa bila ubaguzi au Hali yake ya kiuchumi, Anataka kuona mwanafunzi aliyemaliza kidato Cha nne au sita anaendelea mbele bila kukwama au kukwamishwa na uchumi wa nyumbani, Ndio maana unaona ameweka Elimu bure Hadi kidato Cha sita na kuongeza bajeti katik Elimu ili wengi wapate mikopo vyuo vikuu.
Ndugu zangu kwa kazi hii kubwa aifanyayo mh Rais wetu tuna kila sababu ya Kuendelea kumtia moyo mh Rais wetu, Tuendelee kumwombea Rais wetu ili mwenyezi Mungu aendelee kumlinda na kumpigania wakati wote.
Uongozi unatoka kwa mungu, hivyo kwa wale wasaidizi wa mh Rais na watendaji wote mliobahatika kupata Nafasi ya kuwa serikalini, Nawaombeni mfanye kazi kwa uadilifu na weledi kuwatumikia watanzania, sisi watanzania hasa sisi vijana tunawategemea Sana mtusaidie.
Muwe wanyenyekevu wenye busara hekima na upendo kwetu, mtangulizeni mwenyezi Mungu katika kazi zenu, Tendeni haki kwa wote Kama anavyo sisitiza Rais wetu, Fanyeni kazi kwa bidii na kujituma kwa kuacha Alama njema hata Kama mtahamishwa kesho au kustaafu.
Ni Bora jina jema kuliko Mali nyingi, hivyo jengeni majina mema kwa kufanya kazi vyema kwa kugusa maisha ya watanzania.
Mimi Lucas Mwashambwa ninaungana na mamillion ya watanzania kumuombea mh Rais wetu katika majukumu yake ya Urais.
Wanakisia tu !! Kazi Kweli Kweli !!Acha kubandika namba bila ushahidi
Nonsense, hivi muda wa kuandika na kusifia upuuzi mnapata wapi?.Ndugu zangu Mh Rais mama Samia suluhu Hassani Ni mwanadamu mwenye damu na moyo na mwili wa nyama Kama Tulivyo sisi wengine.

Siyo kusifia Bali kuongea ukweli halisi, ungefanya Jambo la maana Kama ungenionyesha huo uongo ili nami nithibitishe Ni vipi Ni kweli,Nonsense, hivi muda wa kuandika na kusifia upuuzi mnapata wapi?.
Sheria gani unayoitaka wewe zaidi ya Ile kazi aliyoiapa kikatiba ambayo Ni kuwatumikia watanzania wote bila ubaguzi Kama anavyo fanya kwa Sasa,Kufanya kazi bila kupumzika maana yake hana utaratibu maalumu wa kufanya kazi zake kwa mujibu wa sheria.
Angekuwa na kawaida ya kwemda kujionea miradi ma harakat za kimaemdeleo kufuatilia na kuchukua hatua. Basi kuzingekuwa na shida nchi hii...Rais akienda mahali anaenda kufanya kazi zaidi ya moja uijuayo wewe, maana anaweza akaenda kukagua mradi fulani lakini akahitaji kupewa ripoti za utekelezaji wa miradi mbalimbali, pia matumizi ya Fedha zinazopelekwa huko namna zilivyo tumika, nahapo anakuwa na taarifa nyingi tu hata kabla hajafika hapo
Kamwe na katu Rais hawezi kukaa ofisini kusubili kupelekewa kila taarifa bila kwenda kujionea uhalisia eneo husika, maana mwingine atadanganywa na kupewa picha isiyo sahihi,
Pia siyo kazi ya Rais au mtumishi yoyote kukaa tu ofisini bila kwenda kwa wananchi, hata kura tu hakuombea ofisini, Sasa Kama hakuombea ofisini kwanini ajifungie ofisini Mara baada ya kuwa kiongozi
Misafara unayoiona Ni wasaidizi na watendaji wa Rais wanaotakiwa kuelezwa kila kitu katika utekelezaji wa mirad mbalimbali, ndio maana unaona mawaziri wakifafanua Mambo mbalimbali katika ziara za Rais
Ndio uwajibikaji huo Sasa na kwa kutambua hilo ndio maana analipwa posho na mishahara hivyo ni wajibu wake sio hisaniMkuu Kuna watu wangapi wanapewa majukumu kuyasimamia na yanawashinda kuyatimiza, Sasa kwanini Tusimpongeze Rais wetu kwa kutimiza vyema majukumu yake
Mizunguko yote anayofanya Samia suluhu hassani kama kama sio ya kujitahidi kupunguza hali mbaya ya maisha magumu waliyonayo watanzania kila kukicha Basi ingekuwa ni heri apumzike tu Dar es salaam kwa maana haina faira yoyote kwa watanzania.kama ndio mizunguko hii ya story za Russia na Ukraine Basi tuseme uongozi wa namna hii umeshindwa kujipima.Ndugu zangu Mh Rais mama Samia suluhu Hassani Ni mwanadamu mwenye damu na moyo na mwili wa nyama Kama Tulivyo sisi wengine.
Nikawaida kuona hata watumishi wa umma ikikaribia wikend wanafurahi ili wapate muda wa kupumzisha akili na hata kupata muda wa kukaa na Familia zao, kutokanaa na kazi za wiki nzima zinazowaweka bize na mbali na familia zao.
Ndugu zangu pamoja na kuwa mh Rais wetu Ni mwanadamu, Mama mwenye familia lakini ameamua kutumia nguvu zake zote na muda wake wote kututumikia watanzania kwa utumishi ulio tukuka.
Hana muda wakupumzika, Familia yake kwa Sasa Ni watanzania, watoto wake kwa Sasa Ni watanzania, wajukuu zake kwa Sasa Ni watanzania, Mawazo yake kwa Sasa yapo kwa watanzania tu.
Muda wote ukisikiliza vyombo vya habari au kupita vibanda umiza na kuchungulia TV unaona mh Rais wetu yupo kugusa maisha ya watu, yupo kutatua matatizo na kero, yupo kuzindua miradi ya maendeleo, yupo kutoa matumaini kwa waliokata tamaa, yupo kutoa majibu kwa maswali ya wananchi, yupo kutoa maelekezo kwa watendaji wake, yupo kuhoji juu ya matumizi ya Fedha za umma, yupo kuunganisha watu, yupo kuleta umoja kwa watumishi ili wawatumikie watu bila kiburi Wala majivuno, yupo kuwakumbusha watumishi kuwa vyeo Ni dhamana.
Ni mama kwa maama ya mama kweli kwelii, mlezi Bora ambaye anahitaji kuona Familia yake hii ya watanzania inaboreka siku Hadi siku.
Amedhamilia kuijenga Tanzania iliyo Bora ambayo kila mtu atafaidika na matunda yake, Anataka kuona keki ya Taifa inamfikia kila mtu, Hataki kuona Kuna watu au kundi linabaki nyuma na kujiona kutengwa, anataka kila mtu ajisikie fahari kuzaliwa katika nchi hii.
Anataka kuona mtu akienda hospitali anahudumiwa bila ubaguzi au Hali yake ya kiuchumi, Anataka kuona mwanafunzi aliyemaliza kidato Cha nne au sita anaendelea mbele bila kukwama au kukwamishwa na uchumi wa nyumbani, Ndio maana unaona ameweka Elimu bure Hadi kidato Cha sita na kuongeza bajeti katik Elimu ili wengi wapate mikopo vyuo vikuu.
Ndugu zangu kwa kazi hii kubwa aifanyayo mh Rais wetu tuna kila sababu ya Kuendelea kumtia moyo mh Rais wetu, Tuendelee kumwombea Rais wetu ili mwenyezi Mungu aendelee kumlinda na kumpigania wakati wote.
Uongozi unatoka kwa mungu, hivyo kwa wale wasaidizi wa mh Rais na watendaji wote mliobahatika kupata Nafasi ya kuwa serikalini, Nawaombeni mfanye kazi kwa uadilifu na weledi kuwatumikia watanzania, sisi watanzania hasa sisi vijana tunawategemea Sana mtusaidie.
Muwe wanyenyekevu wenye busara hekima na upendo kwetu, mtangulizeni mwenyezi Mungu katika kazi zenu, Tendeni haki kwa wote Kama anavyo sisitiza Rais wetu, Fanyeni kazi kwa bidii na kujituma kwa kuacha Alama njema hata Kama mtahamishwa kesho au kustaafu.
Ni Bora jina jema kuliko Mali nyingi, hivyo jengeni majina mema kwa kufanya kazi vyema kwa kugusa maisha ya watanzania.
Mimi Lucas Mwashambwa ninaungana na mamillion ya watanzania kumuombea mh Rais wetu katika majukumu yake ya Urais.
Ndugu yangu, Mtanzania mwenzangu kwa kuwa kuorozesha hapa hatutamaliza, lakini ningependaa kukwambia tu kuwa hakuna secta au eneo lililo achwa nyuma bila kuguswa tangia Alipo ingia madarakani mh Rais wetu,Pamoja na kufanya kazi bila kupumzika kipi cha maana alichofanya toka arithi madaraka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu zangu Mh Rais mama Samia suluhu Hassani Ni mwanadamu mwenye damu na moyo na mwili wa nyama Kama Tulivyo sisi wengine.
Nikawaida kuona hata watumishi wa umma ikikaribia wikend wanafurahi ili wapate muda wa kupumzisha akili na hata kupata muda wa kukaa na Familia zao, kutokanaa na kazi za wiki nzima zinazowaweka bize na mbali na familia zao.
Ndugu zangu pamoja na kuwa mh Rais wetu Ni mwanadamu, Mama mwenye familia lakini ameamua kutumia nguvu zake zote na muda wake wote kututumikia watanzania kwa utumishi ulio tukuka.
Hana muda wakupumzika, Familia yake kwa Sasa Ni watanzania, watoto wake kwa Sasa Ni watanzania, wajukuu zake kwa Sasa Ni watanzania, Mawazo yake kwa Sasa yapo kwa watanzania tu.
Muda wote ukisikiliza vyombo vya habari au kupita vibanda umiza na kuchungulia TV unaona mh Rais wetu yupo kugusa maisha ya watu, yupo kutatua matatizo na kero, yupo kuzindua miradi ya maendeleo, yupo kutoa matumaini kwa waliokata tamaa, yupo kutoa majibu kwa maswali ya wananchi, yupo kutoa maelekezo kwa watendaji wake, yupo kuhoji juu ya matumizi ya Fedha za umma, yupo kuunganisha watu, yupo kuleta umoja kwa watumishi ili wawatumikie watu bila kiburi Wala majivuno, yupo kuwakumbusha watumishi kuwa vyeo Ni dhamana.
Ni mama kwa maama ya mama kweli kwelii, mlezi Bora ambaye anahitaji kuona Familia yake hii ya watanzania inaboreka siku Hadi siku.
Amedhamilia kuijenga Tanzania iliyo Bora ambayo kila mtu atafaidika na matunda yake, Anataka kuona keki ya Taifa inamfikia kila mtu, Hataki kuona Kuna watu au kundi linabaki nyuma na kujiona kutengwa, anataka kila mtu ajisikie fahari kuzaliwa katika nchi hii.
Anataka kuona mtu akienda hospitali anahudumiwa bila ubaguzi au Hali yake ya kiuchumi, Anataka kuona mwanafunzi aliyemaliza kidato Cha nne au sita anaendelea mbele bila kukwama au kukwamishwa na uchumi wa nyumbani, Ndio maana unaona ameweka Elimu bure Hadi kidato Cha sita na kuongeza bajeti katik Elimu ili wengi wapate mikopo vyuo vikuu.
Ndugu zangu kwa kazi hii kubwa aifanyayo mh Rais wetu tuna kila sababu ya Kuendelea kumtia moyo mh Rais wetu, Tuendelee kumwombea Rais wetu ili mwenyezi Mungu aendelee kumlinda na kumpigania wakati wote.
Uongozi unatoka kwa mungu, hivyo kwa wale wasaidizi wa mh Rais na watendaji wote mliobahatika kupata Nafasi ya kuwa serikalini, Nawaombeni mfanye kazi kwa uadilifu na weledi kuwatumikia watanzania, sisi watanzania hasa sisi vijana tunawategemea Sana mtusaidie.
Muwe wanyenyekevu wenye busara hekima na upendo kwetu, mtangulizeni mwenyezi Mungu katika kazi zenu, Tendeni haki kwa wote Kama anavyo sisitiza Rais wetu, Fanyeni kazi kwa bidii na kujituma kwa kuacha Alama njema hata Kama mtahamishwa kesho au kustaafu.
Ni Bora jina jema kuliko Mali nyingi, hivyo jengeni majina mema kwa kufanya kazi vyema kwa kugusa maisha ya watanzania.
Mimi Lucas Mwashambwa ninaungana na mamillion ya watanzania kumuombea mh Rais wetu katika majukumu yake ya Urais.
Wewe huoni namna mh Rais anavyokuwa akishughilikia kero more apitako au wewe umesikia Russia tu au hupo hapa TzMizunguko yote anayofanya Samia suluhu hassani kama kama sio ya kujitahidi kupunguza hali mbaya ya maisha magumu waliyonayo watanzania kila kukicha Basi ingekuwa ni heri apumzike tu Dar es salaam kwa maana haina faira yoyote kwa watanzania.kama ndio mizunguko hii ya story za Russia na Ukraine Basi tuseme uongozi wa namna hii umeshindwa kujipima.
Kilichojidhihirisha TANZANIA ni kwamba hakuna anayeumizwa na maisha ya watanzania zaidi ya mashindano ya kiuongozi ya ndani ya CCM,amesemwa sana Magufuli sisi tulidhani hawa sasa watahakikisha kwamba watanzania wataishi vzr kumbe ndio balaa kabisa kilichobadilika ni chupa tu ila pombe ni ileile.Wewe huoni namna mh Rais anavyokuwa akishughilikia kero more apitako au wewe umesikia Russia tu au hupo hapa Tz
Hell no..Faraja kwa majizi ya kura?
Acha kuandika upuuziRais akienda mahali anaenda kufanya kazi zaidi ya moja uijuayo wewe, maana anaweza akaenda kukagua mradi fulani lakini akahitaji kupewa ripoti za utekelezaji wa miradi mbalimbali, pia matumizi ya Fedha zinazopelekwa huko namna zilivyo tumika, nahapo anakuwa na taarifa nyingi tu hata kabla hajafika hapo
Kamwe na katu Rais hawezi kukaa ofisini kusubili kupelekewa kila taarifa bila kwenda kujionea uhalisia eneo husika, maana mwingine atadanganywa na kupewa picha isiyo sahihi,
Pia siyo kazi ya Rais au mtumishi yoyote kukaa tu ofisini bila kwenda kwa wananchi, hata kura tu hakuombea ofisini, Sasa Kama hakuombea ofisini kwanini ajifungie ofisini Mara baada ya kuwa kiongozi
Misafara unayoiona Ni wasaidizi na watendaji wa Rais wanaotakiwa kuelezwa kila kitu katika utekelezaji wa mirad mbalimbali, ndio maana unaona mawaziri wakifafanua Mambo mbalimbali katika ziara za Rais
Kaka mkubwaMkuu Luka, Lucas mwashambwa, naunga mkono hoja.
P