Tumpe Faraja Rais Samia kwa namna anavyofanya kazi bila kupumzika wala kukaa kwa ajili yetu Watanzania

Kilimo Ni biashara mkuu, ulitaka ununue kwa shilingi Mia mbili, acha mkulima apate Bei nzuri maana hata mbolea alinunua kwa Bei kubwa, Ndio maana unaona mama yetu mpendwa mh mama Samia suluhu Hassani ameamua atoe Ruzuku ili mbolea zipatikane kwa Bei rafiki msimu ujao
Jana nimenunua mahindi ya njano kwa ajili ya uji wa mtoto 1kg=2,000 sio poa [emoji1316][emoji1316]
 
Kumbe ni mama yako.sisi wengine kwetu ni rais anayepaswa kututumikia nasio kumpigia debe.Atapimwa kwakile alichoapa kutufanyia waajiri wake sio wingi wa mapambio.
Ndio anachokifanya kwa Sasa ndio maana unaona namna Rais wetu anavyokwenda huku na huko kuonana na wananchi na kutatua kero, kuzindua miradi, kuweka mawe ya msingi, kujibu hoja na kero za wananchi na kuwaeleza watanzania juu ya mipango ya serikali yao katika Mambo mbalimbali
 
Ndugu zangu Mh Rais mama Samia suluhu Hassani Ni mwanadamu mwenye damu na moyo na mwili wa nyama Kama Tulivyo sisi wengine.

Nikawaida kuona hata watumishi wa umma ikikaribia wikend wanafurahi ili wapate muda wa kupumzisha akili na hata kupata muda wa kukaa na Familia zao, kutokanaa na kazi za wiki nzima zinazowaweka bize na mbali na familia zao.

Ndugu zangu pamoja na kuwa mh Rais wetu Ni mwanadamu, Mama mwenye familia lakini ameamua kutumia nguvu zake zote na muda wake wote kututumikia watanzania kwa utumishi ulio tukuka.

Hana muda wakupumzika, Familia yake kwa Sasa Ni watanzania, watoto wake kwa Sasa Ni watanzania, wajukuu zake kwa Sasa Ni watanzania, Mawazo yake kwa Sasa yapo kwa watanzania tu.

Muda wote ukisikiliza vyombo vya habari au kupita vibanda umiza na kuchungulia TV unaona mh Rais wetu yupo kugusa maisha ya watu, yupo kutatua matatizo na kero, yupo kuzindua miradi ya maendeleo, yupo kutoa matumaini kwa waliokata tamaa, yupo kutoa majibu kwa maswali ya wananchi, yupo kutoa maelekezo kwa watendaji wake, yupo kuhoji juu ya matumizi ya Fedha za umma, yupo kuunganisha watu, yupo kuleta umoja kwa watumishi ili wawatumikie watu bila kiburi Wala majivuno, yupo kuwakumbusha watumishi kuwa vyeo Ni dhamana.

Ni mama kwa maama ya mama kweli kwelii, mlezi Bora ambaye anahitaji kuona Familia yake hii ya watanzania inaboreka siku Hadi siku.

Amedhamilia kuijenga Tanzania iliyo Bora ambayo kila mtu atafaidika na matunda yake, Anataka kuona keki ya Taifa inamfikia kila mtu, Hataki kuona Kuna watu au kundi linabaki nyuma na kujiona kutengwa, anataka kila mtu ajisikie fahari kuzaliwa katika nchi hii.

Anataka kuona mtu akienda hospitali anahudumiwa bila ubaguzi au Hali yake ya kiuchumi, Anataka kuona mwanafunzi aliyemaliza kidato Cha nne au sita anaendelea mbele bila kukwama au kukwamishwa na uchumi wa nyumbani, Ndio maana unaona ameweka Elimu bure Hadi kidato Cha sita na kuongeza bajeti katik Elimu ili wengi wapate mikopo vyuo vikuu.

Ndugu zangu kwa kazi hii kubwa aifanyayo mh Rais wetu tuna kila sababu ya Kuendelea kumtia moyo mh Rais wetu, Tuendelee kumwombea Rais wetu ili mwenyezi Mungu aendelee kumlinda na kumpigania wakati wote.

Uongozi unatoka kwa mungu, hivyo kwa wale wasaidizi wa mh Rais na watendaji wote mliobahatika kupata Nafasi ya kuwa serikalini, Nawaombeni mfanye kazi kwa uadilifu na weledi kuwatumikia watanzania, sisi watanzania hasa sisi vijana tunawategemea Sana mtusaidie.

Muwe wanyenyekevu wenye busara hekima na upendo kwetu, mtangulizeni mwenyezi Mungu katika kazi zenu, Tendeni haki kwa wote Kama anavyo sisitiza Rais wetu, Fanyeni kazi kwa bidii na kujituma kwa kuacha Alama njema hata Kama mtahamishwa kesho au kustaafu.

Ni Bora jina jema kuliko Mali nyingi, hivyo jengeni majina mema kwa kufanya kazi vyema kwa kugusa maisha ya watanzania.

Mimi Lucas Mwashambwa ninaungana na mamillion ya watanzania kumuombea mh Rais wetu katika majukumu yake ya Urais.
Kufanya kazi bila kupumzika maana yake hana utaratibu maalumu wa kufanya kazi zake kwa mujibu wa sheria.
 
Nonsense, hivi muda wa kuandika na kusifia upuuzi mnapata wapi?.
 
Siyo kusifia Bali kuongea ukweli halisi, ungefanya Jambo la maana Kama ungenionyesha huo uongo ili nami nithibitishe Ni vipi Ni kweli,
 
Kufanya kazi bila kupumzika maana yake hana utaratibu maalumu wa kufanya kazi zake kwa mujibu wa sheria.
Sheria gani unayoitaka wewe zaidi ya Ile kazi aliyoiapa kikatiba ambayo Ni kuwatumikia watanzania wote bila ubaguzi Kama anavyo fanya kwa Sasa,

Rais wetu amekuwa mtumishi mnyenyekevu Sana kwa watanzania, licha ya madaraka aliyo nayo kikatiba na kisheria lakini bado anatambua kuwa wanaotakiwa kutumikiwa Ni watanzania na siyo yeye,

Ndio maana unaona akifanya kazi usiku na mchana kwa ajili yetu watanzania
 
Rais akienda mahali anaenda kufanya kazi zaidi ya moja uijuayo wewe, maana anaweza akaenda kukagua mradi fulani lakini akahitaji kupewa ripoti za utekelezaji wa miradi mbalimbali, pia matumizi ya Fedha zinazopelekwa huko namna zilivyo tumika, nahapo anakuwa na taarifa nyingi tu hata kabla hajafika hapo

Kamwe na katu Rais hawezi kukaa ofisini kusubili kupelekewa kila taarifa bila kwenda kujionea uhalisia eneo husika, maana mwingine atadanganywa na kupewa picha isiyo sahihi,

Pia siyo kazi ya Rais au mtumishi yoyote kukaa tu ofisini bila kwenda kwa wananchi, hata kura tu hakuombea ofisini, Sasa Kama hakuombea ofisini kwanini ajifungie ofisini Mara baada ya kuwa kiongozi

Misafara unayoiona Ni wasaidizi na watendaji wa Rais wanaotakiwa kuelezwa kila kitu katika utekelezaji wa mirad mbalimbali, ndio maana unaona mawaziri wakifafanua Mambo mbalimbali katika ziara za Rais
Angekuwa na kawaida ya kwemda kujionea miradi ma harakat za kimaemdeleo kufuatilia na kuchukua hatua. Basi kuzingekuwa na shida nchi hii...

Anachokifanya yeye ni kuranda tu ilimrad pesa za buure baasi.

Ndio maama hakuna vitu vinatimia...

Barabara kilwa road toka rangi 3 hadi k.koo ni km 15 kaachiwa ikiwa 70% ila hadi leo haijasogea hata asilimia 5 sasa anakagua nin.... Ukipita unakuta watu watatu tu wanafanya kazi na viongozi wanapita daily wanawaza matumbo tu...

Usisifie ujinga ukidhan madhara yake hayatokuhusu.... Pakioza na wewe unaoza moja kwa moja.. tengeneza pumzi ya baadae... Buku 7 per day isikuponze
 
Mkuu Kuna watu wangapi wanapewa majukumu kuyasimamia na yanawashinda kuyatimiza, Sasa kwanini Tusimpongeze Rais wetu kwa kutimiza vyema majukumu yake
Ndio uwajibikaji huo Sasa na kwa kutambua hilo ndio maana analipwa posho na mishahara hivyo ni wajibu wake sio hisani
 
watu wa kupewa faraja ni÷

1. wakunga wanaokomaa usiku na mchana kuhakikisha uzazi unakua na afya kwa mama na mtoto

2. waalimu wanaokomaa na watoto kuwapa maarifa, nyenzo na stadi za maisha kwa maendeleo ya jamii

3. polisi, magereza etc kuweka hali ya usalama na utulivu

NB. kiujumla kazi za kisiasa inatakiwa iwe ni ziada/wito isiwe kazi ya kujinufaisha
 
Ndugu zangu Mh Rais mama Samia suluhu Hassani Ni mwanadamu mwenye damu na moyo na mwili wa nyama Kama Tulivyo sisi wengine.

Nikawaida kuona hata watumishi wa umma ikikaribia wikend wanafurahi ili wapate muda wa kupumzisha akili na hata kupata muda wa kukaa na Familia zao, kutokanaa na kazi za wiki nzima zinazowaweka bize na mbali na familia zao.

Ndugu zangu pamoja na kuwa mh Rais wetu Ni mwanadamu, Mama mwenye familia lakini ameamua kutumia nguvu zake zote na muda wake wote kututumikia watanzania kwa utumishi ulio tukuka.

Hana muda wakupumzika, Familia yake kwa Sasa Ni watanzania, watoto wake kwa Sasa Ni watanzania, wajukuu zake kwa Sasa Ni watanzania, Mawazo yake kwa Sasa yapo kwa watanzania tu.

Muda wote ukisikiliza vyombo vya habari au kupita vibanda umiza na kuchungulia TV unaona mh Rais wetu yupo kugusa maisha ya watu, yupo kutatua matatizo na kero, yupo kuzindua miradi ya maendeleo, yupo kutoa matumaini kwa waliokata tamaa, yupo kutoa majibu kwa maswali ya wananchi, yupo kutoa maelekezo kwa watendaji wake, yupo kuhoji juu ya matumizi ya Fedha za umma, yupo kuunganisha watu, yupo kuleta umoja kwa watumishi ili wawatumikie watu bila kiburi Wala majivuno, yupo kuwakumbusha watumishi kuwa vyeo Ni dhamana.

Ni mama kwa maama ya mama kweli kwelii, mlezi Bora ambaye anahitaji kuona Familia yake hii ya watanzania inaboreka siku Hadi siku.

Amedhamilia kuijenga Tanzania iliyo Bora ambayo kila mtu atafaidika na matunda yake, Anataka kuona keki ya Taifa inamfikia kila mtu, Hataki kuona Kuna watu au kundi linabaki nyuma na kujiona kutengwa, anataka kila mtu ajisikie fahari kuzaliwa katika nchi hii.

Anataka kuona mtu akienda hospitali anahudumiwa bila ubaguzi au Hali yake ya kiuchumi, Anataka kuona mwanafunzi aliyemaliza kidato Cha nne au sita anaendelea mbele bila kukwama au kukwamishwa na uchumi wa nyumbani, Ndio maana unaona ameweka Elimu bure Hadi kidato Cha sita na kuongeza bajeti katik Elimu ili wengi wapate mikopo vyuo vikuu.

Ndugu zangu kwa kazi hii kubwa aifanyayo mh Rais wetu tuna kila sababu ya Kuendelea kumtia moyo mh Rais wetu, Tuendelee kumwombea Rais wetu ili mwenyezi Mungu aendelee kumlinda na kumpigania wakati wote.

Uongozi unatoka kwa mungu, hivyo kwa wale wasaidizi wa mh Rais na watendaji wote mliobahatika kupata Nafasi ya kuwa serikalini, Nawaombeni mfanye kazi kwa uadilifu na weledi kuwatumikia watanzania, sisi watanzania hasa sisi vijana tunawategemea Sana mtusaidie.

Muwe wanyenyekevu wenye busara hekima na upendo kwetu, mtangulizeni mwenyezi Mungu katika kazi zenu, Tendeni haki kwa wote Kama anavyo sisitiza Rais wetu, Fanyeni kazi kwa bidii na kujituma kwa kuacha Alama njema hata Kama mtahamishwa kesho au kustaafu.

Ni Bora jina jema kuliko Mali nyingi, hivyo jengeni majina mema kwa kufanya kazi vyema kwa kugusa maisha ya watanzania.

Mimi Lucas Mwashambwa ninaungana na mamillion ya watanzania kumuombea mh Rais wetu katika majukumu yake ya Urais.
Mizunguko yote anayofanya Samia suluhu hassani kama kama sio ya kujitahidi kupunguza hali mbaya ya maisha magumu waliyonayo watanzania kila kukicha Basi ingekuwa ni heri apumzike tu Dar es salaam kwa maana haina faira yoyote kwa watanzania.kama ndio mizunguko hii ya story za Russia na Ukraine Basi tuseme uongozi wa namna hii umeshindwa kujipima.
 
Pamoja na kufanya kazi bila kupumzika kipi cha maana alichofanya toka arithi madaraka?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu, Mtanzania mwenzangu kwa kuwa kuorozesha hapa hatutamaliza, lakini ningependaa kukwambia tu kuwa hakuna secta au eneo lililo achwa nyuma bila kuguswa tangia Alipo ingia madarakani mh Rais wetu,

1/ELIMU: Katika Elimu kumefanyika uwekezaji mkubwa Sana ikiwa Ni pamoja na ujenzi wa shule mpya katika maeneo mbali mbali ili kuhakikisha wanafunzi wote wanaotakiwa kujiunga na shule owe Ni darasa la kwanza au kidato Cha kwanza wanapata nafasi ya Kuendelea na masomo yao bila shida

Na hapa Ni kwa Mara ya kwanza pia tumeshuhudia pia madarasa mengi yakijengwa na kufanya wanafunzi wote waliopata nafasi ya kujiunga kidato Cha kwanza wakienda wote bila kusubili nyumbani mpaka madarasa yakamilike

Hali hii imesaidia Sanaa kwa kuwa zamani wanafunzi wengine walikuwa wanakwenda muhula wa pili na kukuta wenzao wapo mbali Sana kimasomo, na wakifika kidato Cha pili wanafanya mtihani mmoja bila kujali walifika muda upi shule

Pia mh Rais katika bajeti ya mwaka huu ameamua serikali ibebe jukumu la kulipa Ada kwa wanafunzi wote watakao pata nafasi ya Kuendelea na kidato Cha tano, Jambo Hilo limewapunguzia mzigo wazazi wa kulipa Ada, lakini pia limetoa nafasi kwa wanafunzi waliokuwa wanatoka familia duni kuweza Kuendelea na masomo yao bila shida yoyote

Pia mikopo Elimu ya juu, nako serikali imeongeza bajeti ili kuwafanya wanufaika wa mikopo hiyo kuwa wengi zaidi, Jambo Hilo ni mkombozi kwa wanafunzi na vijanàa wanaotoka familia ambazo haziwezi kumudu gharama kuweza kupata fursa ya Elimu ya juu

Hapa pia serikali inajitahidi kuongeza walimu mashuleni kupunguza uhaba wa walimu na naamini itaendeleaa kufanya hivyo kwa kadri uchumi utakavyo kuwa unaruhusu itakuwa inaajiri

2: AFYa, nako vituo vya Afya na hata zahanati vimeendelea kujengwa kila Kona ya nchi na kwa kila mkoa na wilaya, Hali hii imesaidia kupunguza hata msongamano katika hospitali za mikoa, kwa kuwa watu wanapata huduma Bora ngazi ya chini,

Ni mengi Sana na siwezi kuyamaliza hapa maana ukienda kwenye secta ya maji,umeme, kilimo, nk, utakuta na kuona namna mh mama Samia suluhu Hassani alivyofanya kazi vizuri
 
Ndugu zangu Mh Rais mama Samia suluhu Hassani Ni mwanadamu mwenye damu na moyo na mwili wa nyama Kama Tulivyo sisi wengine.

Nikawaida kuona hata watumishi wa umma ikikaribia wikend wanafurahi ili wapate muda wa kupumzisha akili na hata kupata muda wa kukaa na Familia zao, kutokanaa na kazi za wiki nzima zinazowaweka bize na mbali na familia zao.

Ndugu zangu pamoja na kuwa mh Rais wetu Ni mwanadamu, Mama mwenye familia lakini ameamua kutumia nguvu zake zote na muda wake wote kututumikia watanzania kwa utumishi ulio tukuka.

Hana muda wakupumzika, Familia yake kwa Sasa Ni watanzania, watoto wake kwa Sasa Ni watanzania, wajukuu zake kwa Sasa Ni watanzania, Mawazo yake kwa Sasa yapo kwa watanzania tu.

Muda wote ukisikiliza vyombo vya habari au kupita vibanda umiza na kuchungulia TV unaona mh Rais wetu yupo kugusa maisha ya watu, yupo kutatua matatizo na kero, yupo kuzindua miradi ya maendeleo, yupo kutoa matumaini kwa waliokata tamaa, yupo kutoa majibu kwa maswali ya wananchi, yupo kutoa maelekezo kwa watendaji wake, yupo kuhoji juu ya matumizi ya Fedha za umma, yupo kuunganisha watu, yupo kuleta umoja kwa watumishi ili wawatumikie watu bila kiburi Wala majivuno, yupo kuwakumbusha watumishi kuwa vyeo Ni dhamana.

Ni mama kwa maama ya mama kweli kwelii, mlezi Bora ambaye anahitaji kuona Familia yake hii ya watanzania inaboreka siku Hadi siku.

Amedhamilia kuijenga Tanzania iliyo Bora ambayo kila mtu atafaidika na matunda yake, Anataka kuona keki ya Taifa inamfikia kila mtu, Hataki kuona Kuna watu au kundi linabaki nyuma na kujiona kutengwa, anataka kila mtu ajisikie fahari kuzaliwa katika nchi hii.

Anataka kuona mtu akienda hospitali anahudumiwa bila ubaguzi au Hali yake ya kiuchumi, Anataka kuona mwanafunzi aliyemaliza kidato Cha nne au sita anaendelea mbele bila kukwama au kukwamishwa na uchumi wa nyumbani, Ndio maana unaona ameweka Elimu bure Hadi kidato Cha sita na kuongeza bajeti katik Elimu ili wengi wapate mikopo vyuo vikuu.

Ndugu zangu kwa kazi hii kubwa aifanyayo mh Rais wetu tuna kila sababu ya Kuendelea kumtia moyo mh Rais wetu, Tuendelee kumwombea Rais wetu ili mwenyezi Mungu aendelee kumlinda na kumpigania wakati wote.

Uongozi unatoka kwa mungu, hivyo kwa wale wasaidizi wa mh Rais na watendaji wote mliobahatika kupata Nafasi ya kuwa serikalini, Nawaombeni mfanye kazi kwa uadilifu na weledi kuwatumikia watanzania, sisi watanzania hasa sisi vijana tunawategemea Sana mtusaidie.

Muwe wanyenyekevu wenye busara hekima na upendo kwetu, mtangulizeni mwenyezi Mungu katika kazi zenu, Tendeni haki kwa wote Kama anavyo sisitiza Rais wetu, Fanyeni kazi kwa bidii na kujituma kwa kuacha Alama njema hata Kama mtahamishwa kesho au kustaafu.

Ni Bora jina jema kuliko Mali nyingi, hivyo jengeni majina mema kwa kufanya kazi vyema kwa kugusa maisha ya watanzania.

Mimi Lucas Mwashambwa ninaungana na mamillion ya watanzania kumuombea mh Rais wetu katika majukumu yake ya Urais.

Pitia hapa kwanza kabla hujaandika hayo uliyoandika:

Mizunguko yote anayofanya Samia suluhu hassani kama kama sio ya kujitahidi kupunguza hali mbaya ya maisha magumu waliyonayo watanzania kila kukicha Basi ingekuwa ni heri apumzike tu Dar es salaam kwa maana haina faira yoyote kwa watanzania.kama ndio mizunguko hii ya story za Russia na Ukraine Basi tuseme uongozi wa namna hii umeshindwa kujipima.
Wewe huoni namna mh Rais anavyokuwa akishughilikia kero more apitako au wewe umesikia Russia tu au hupo hapa Tz
 
Kilichojidhihirisha TANZANIA ni kwamba hakuna anayeumizwa na maisha ya watanzania zaidi ya mashindano ya kiuongozi ya ndani ya CCM,amesemwa sana Magufuli sisi tulidhani hawa sasa watahakikisha kwamba watanzania wataishi vzr kumbe ndio balaa kabisa kilichobadilika ni chupa tu ila pombe ni ileile.
 
Rais akienda mahali anaenda kufanya kazi zaidi ya moja uijuayo wewe, maana anaweza akaenda kukagua mradi fulani lakini akahitaji kupewa ripoti za utekelezaji wa miradi mbalimbali, pia matumizi ya Fedha zinazopelekwa huko namna zilivyo tumika, nahapo anakuwa na taarifa nyingi tu hata kabla hajafika hapo

Kamwe na katu Rais hawezi kukaa ofisini kusubili kupelekewa kila taarifa bila kwenda kujionea uhalisia eneo husika, maana mwingine atadanganywa na kupewa picha isiyo sahihi,

Pia siyo kazi ya Rais au mtumishi yoyote kukaa tu ofisini bila kwenda kwa wananchi, hata kura tu hakuombea ofisini, Sasa Kama hakuombea ofisini kwanini ajifungie ofisini Mara baada ya kuwa kiongozi

Misafara unayoiona Ni wasaidizi na watendaji wa Rais wanaotakiwa kuelezwa kila kitu katika utekelezaji wa mirad mbalimbali, ndio maana unaona mawaziri wakifafanua Mambo mbalimbali katika ziara za Rais
Acha kuandika upuuzi
 
Back
Top Bottom