Tumpe hitimisho gani kijana huyu

Tumpe hitimisho gani kijana huyu

Asubuhi kabla ya kuanza shughuli zake anakunjwa energy drink

Mchana na jioni lazima anywe hizi pombe kali smart gin/ double kick. Ni mfumo wa maisha yake kwa kitambo sasa, tumpe conclusion gani kijana huyu.
Kumbe anapesa nyingi kwa vinywa tu anaweza akatumia bk 5 je mengineyo, kumbe anapesa mingi huwezi mshauri mwache hatakusikiliza
 
Asubuhi kabla ya kuanza shughuli zake anakunjwa energy drink

Mchana na jioni lazima anywe hizi pombe kali smart gin/ double kick. Ni mfumo wa maisha yake kwa kitambo sasa, tumpe conclusion gani kijana huyu.
Marehemu wa hivi karibuni. Msamehe tu bure.
 
Back
Top Bottom