Tumpe hitimisho gani kijana huyu

Tumpe hitimisho gani kijana huyu

Asubuhi kabla ya kuanza shughuli zake anakunjwa energy drink

Mchana na jioni lazima anywe hizi pombe kali smart gin/ double kick. Ni mfumo wa maisha yake kwa kitambo sasa, tumpe conclusion gani kijana huyu.
Daaah aiseee elimu ya afya iwe kwa lazima sasa utake au usitake...

Nje ya mada mkuu hivi kwa mtu mwenye ratiba ya kunywa juisi ya matunda ile ya kutengeneza mida ya mchana.... Akala na bite tu..

Hapo akapiga pasi ndefu mpaka jioni akala mlo kamili na matunda..

Je anaweza pata vidonda vya tumbo au kujikunja utumbo mkuu 🙏🙏🙏🙏🙏
 
Ukiona ameanza kupata ka kitambi hana pesa mwambie aanze kusali jumuiya ili angalau akifa wamsalie azikwe vzr
Kuna jamaa angu anasoma medical lab, huwa anakunywa sana haya madude...

Alafu ananiambia mimi hivi "" hivi PB mi kwa kamwili haka ata hizo glucose kwangu zitakua na madhara gani kaka wee kunywa tuu hamna kitu hapo tunadanganyana tu"""

Sasa jamaa sasa hivi ana kakitambi
 
Screenshot_20240824_095124_Chrome.jpg
 
Kuna jamaa angu anasoma medical lab, huwa anakunywa sana haya madude...

Alafu ananiambia mimi hivi "" hivi PB mi kwa kamwili haka ata hizo glucose kwangu zitakua na madhara gani kaka wee kunywa tuu hamna kitu hapo tunadanganyana tu"""

Sasa jamaa sasa hivi ana kakitambi
R. I. P
 
Unataka umpe conclusion wewe kama nani? Wewe una conclusion ya maisha yako? Mtu huishi vile aonavyo inafaa yeye, as long as anaishi bila kukusumbua wewe kwenye starehe zake muache aishi atakavyo
 
Daaah aiseee elimu ya afya iwe kwa lazima sasa utake au usitake...

Nje ya mada mkuu hivi kwa mtu mwenye ratiba ya kunywa juisi ya matunda ile ya kutengeneza mida ya mchana.... Akala na bite tu..

Hapo akapiga pasi ndefu mpaka jioni akala mlo kamili na matunda..

Je anaweza pata vidonda vya tumbo au kujikunja utumbo mkuu 🙏🙏🙏🙏🙏
Wataalamu wanasema vidonda vya tumbo chanzo chake moja wapo ni matumizi dawa za kutuliza maumivu, unywaji wa vinywaji vikali kali kama pop pombe bila ya kutanguliza chakula, kukaa muda mrefu bila kula, kula vyakula na vinywaji vinavyo sababisha asid nyingi.
So kwa mfumo huo ulioekezwa sio rahisi kupata vidonda vya tumbo, kwa mujibu wa wataalam lakini.
 
Hii ya dawa za kutuliza maumivu ndo kiajee? Em fafanuaa.
 
Back
Top Bottom