Tumpe nani maua yake kati ya Mercy Chinwo ama Ada Ehi?

Tumpe nani maua yake kati ya Mercy Chinwo ama Ada Ehi?

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Picha za kusindikizia uzi hizi hapa
images.jpeg
images (1).jpeg

Uzi tayari!
N.B: Ningekuwa na uwezo mkubwa sana ningelimuoa Ada Ehi kuliko hiki kimbemberuka nilichonacho
 
Wote wakali japo namsikiliza zaidi Mercy hasa wimbo wake wa Confidence
 
Siyo Mbaya Kwa Kuanzia Wakati Una Kiu Sana
 
Ma super star wana jeuri hatari including waimba gospel, ndio maana kama wa hapa nchini wengi hawadumu kwenye ndoa. Hawa siwajui sana ila uweza kuta Bora hicho kimbemberuka chako labda hata kinakusikilizaga, hawa huwaambii kitu mzee😭😭
 
Back
Top Bottom