Tumpe nani maua yake kati ya Mercy Chinwo ama Ada Ehi?

Tumpe nani maua yake kati ya Mercy Chinwo ama Ada Ehi?

Picha za kusindikizia uzi hizi hapa

Uzi tayari!
N.B: Ningekuwa na uwezo mkubwa sana ningelimuoa Ada Ehi kuliko hiki kimbemberuka nilichonacho
Mkuu.
Katika vyoote hata ukosewe namna gani na mwanamke usivike mstari wa utu.

Mwache aende zake kwa amani punguza kudhalilisha utu wa mwanamke ama mkeo.

Wengi tuna matatizo ndani ya ndoa, lakini hautaniona nikismear about her. Ninapiga zangu mechi za mchangani kimya kimya, nasepa kimya kimya huku nikiangalia kuachana naye kimya kimya endapo hatobadilika
 
image.jpg

ndo kwanza wanaimba AIC chang’ombe list ni ndefu bado😂😂😂
 
Back
Top Bottom