yes next month mercy atakua live mlimani citykwan wana show bongo....,?
woowโค๏ธyes next month mercy atakua live mlimani city
twendewoowโค๏ธ
mchawi fwezaaa muda upo ila maokoto ndo chngamoto mkuu nataman nngeenda ila ntalala njaa ๐๐twende
20k regularmchawi fwezaaa muda upo ila maokoto ndo chngamoto mkuu nataman nngeenda ila ntalala njaa ๐๐
Mkuu.Picha za kusindikizia uzi hizi hapa
Uzi tayari!
N.B: Ningekuwa na uwezo mkubwa sana ningelimuoa Ada Ehi kuliko hiki kimbemberuka nilichonacho
sina maisha boss20k regular
polee๐๐ si ndo tuko live mlimani hapasina maisha boss
Eeh bwana, kumbe ni leo hii?polee๐๐ si ndo tuko live mlimani hapa
ni leo ๐๐ bado ndo kumekucha sasa ๐๐Eeh bwana, kumbe ni leo hii?
Dah, pamekaa mkao sana. Hope watu mliburudika vya kutosha.View attachment 2935789
ndo kwanza wanaimba AIC changโombe list ni ndefu bado๐๐๐
saaaana mpaka asubuhiDah, pamekaa mkao sana. Hope watu mliburudika vya kutosha.
n mwanamke nnaempenda afrika ๐๐nlimuandikia mpaka uzi humuChidnma ayupo .haka ka dem kalikua pisi sana kabla akajawa bonge nyanya
nmeona amefika leo bhna๐๐ dahpolee๐๐ si ndo tuko live mlimani hapa
sie tumerudi majumbani asubuhi show ilikua balaanmeona amefika leo bhna๐๐ dah
Haya jiandae tukamuone Israel mbonyinmeona amefika leo bhna๐๐ dah