Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Maalumu kwa fans wa Ucheshi. Picha zao hizi hapa
View attachment 2899111
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Hii ndo JF ambayo members wake huchekeshwa na comedy za akina Mr. Bin na mwanae, Charlie ChamplinHamna kitu hapo, comedy ya bongo haijawahi kunichekesha
Kwani kuna ulazima gani wa kutokikubali kitu kisichokidhi qualities zako?Dah! Hii ndo JF ambayo members wake huchekeshwa na comedy za akina Mr. Bin na mwanae, Charlie Champlin
Sielewi ni kwanini wabongo hatupendi vya kwetu
Kwani wewe ni mlokole?Kwani kuna ulazima gani wa kutokikubali kitu kisichokifhi qualities zako? Mimi binafsi hao wote huwa hata sielewi wanachokifanya.
Ungemuongelea Eliud ningekuelewa.
Hamna kitu hapo, comedy ya bongo haijawahi kunichekesha