Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comedy inatakiwa ichekeshe na kufurahisha lakini ya Bongo inakasirisha. Comedy ya Bongo ni kwa low-minded people. Ila mitaani siyo kama hakuna wachekeshaji, wapo wengi mno mno. Infact niseme kuna vipaji vizuri sana. Tatizo ni kuwa wanaoonekana kwenye TV ni ma-imposter fulani hivi, wajanja wajanja wanaolazimisha kazi.Hamna kitu hapo, comedy ya bongo haijawahi kunichekesha