Tumpe nani maua yake kati ya Steve Mweusi ama Kicheche?

Tumpe nani maua yake kati ya Steve Mweusi ama Kicheche?

  • Steve Mweusi

  • Kicheche


Results are only viewable after voting.
Steve
Na wa Cheka tu nawakubali na malegendaries wote
Kwa hapo steve
 
Dah! Hii ndo JF ambayo members wake huchekeshwa na comedy za akina Mr. Bin na mwanae, Charlie Champlin

Sielewi ni kwanini wabongo hatupendi vya kwetu
Kwani kuna ulazima gani wa kutokikubali kitu kisichokidhi qualities zako?
Mimi binafsi hao wote huwa hata sielewi wanachokifanya.
Ungemuongelea Eliud ningekuelewa.
 
Wote wapo sawa ila ...Kicheche ni multitalented kumshinda steve....Steve na wenzie clips zao wanarudia sana zile zile maudhui hayana mpya.

Yote tisa wanatumia scripts kuchekesha ila real kabisa kwa sasa wale jambo na vijambo wapo real bila ya scripts...Kwanza wabunifu yule muongo ,jamaa anayejifanya yesu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…