Huyo kicheche hana maadili, matusi mengi na sio rafiki kwa watoto
Sasa wamuangalie kuanzia saa 4 usiku ama
Hachekeshi ila matusi mengi tu na kuita Malaya na mbwa
Hana kipaji kabisa bora Steve hana matusi
Kuna haja gani ya kutukana ili uchrkeshe watu?