Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Tiyari nishafanya yangu kwa udhamini mnene wa VPN
Jiwe hali mbaya huko inabidi jeshi la polisi lipelekwe likaongeze nguvu
Lisu sasa aniandae kuapishwa?
 
Tafadhali sana, hunijui. Kama huwezi kuwa mstaarabu na kujibu hoja kwa hoja unaweza pia kukaa kimya.

Tabia ya kudhania kila mtu ni shabiki wa vyama vya siasa na wanasiasa ni tabia mbovu sana!
Imani yao kina Crimea ni kuwa kila anaekosoa jambo muhimu kwa viongozi wetu ni Cdm !!. Aibu sana
 
Hapana

Rais Nana Akufo Addo, wa Ghana ameshinda uchaguzi mkuu wa nchi hiyo, kwa kupata asilimia 51.6 ya Kura, dhidi mpinzani wake wa karibu, Rais wa Zamani wa taifa hilo, John Mahama aliyepata asilimia 47.4 ya kura zote...
Hawa hawajui lolote wala hawana wanalojua hapa duniani
 
Sijawahi kumwamini yeyote katika maisha yangu, Ila naomba Wana Lumumba tuendelee kuaminiana. Asanteni kwa kunielewa.
Hata mkeo humwamini??mbona unakula gizani uogopi kung’atwa?kwa wakubwa tu
 
Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura Rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Afrika wa mwaka...
Meko doesn’t deserve to be nominated, nevertheless winning
 
Tafadhali sana, hunijui. Kama huwezi kuwa mstaarabu na kujibu hoja kwa hoja unaweza pia kukaa kimya.

Tabia ya kudhania kila mtu ni shabiki wa vyama vya siasa na wanasiasa ni tabia mbovu sana!
Sasa nani kakwambia anamjua mtu humu?

Wewe endelea kumpigia kura rais wa Ghana
 
Meko doesn’t deserve to be nominated, nevertheless winning
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuwepo tu kwenye hicho kinyanganyiro na kuwapiga bao south na senegal mbona ni promo kubwa sana kwake?

Go Magu go
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…