Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura Rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Afrika wa mwaka.
Rais Magufuli anashindanishwa na Marais wa Djibouti, Afrika Kusini, Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora
Japo Magufuli anaongoza lakini kura yako ni muhimu sana
USSRView attachment 1665817View attachment 1670488
Can you come again.Mkuu,
Two days past the voting trail was in Magufuli favour, however as from yesterday 4th January 2021 the voting count down clobbered Magufuli shifting to Nana Akufo from Ghana. Today 5th January 2021 the trend reversed by gradual droppage from Nana Akufo with voting garnering to Magufuli with slight percentage gain. The competion is so tense whereas dvelopment and democratic supporters are overwhelmingly challenging to each other........as who is who for what and why......the yeballs and ears are spread aprt to hear and see what is elevating the spirit in favour.
Kwani ulitaka upige mara ngapi? Unadhani ile ni NEC na masanduku yenu ya usikuNaona wameshaweka mfumo wao ukipiga mara moja huwezi kurudia tena. Nadhani wanarekodi IP address
Ukishakuwa mwizi ni vigumu kubadilika, labda ufanyiwe maombi ya toba..Kwani ulitaka upige mara ngapi? Unadhani ile ni NEC na masanduku yenu ya usiku
Ama kweli bara la Africa ni kama lina laana hivi! Yaani kama katika maraisi wote zaidi ya hamsini JPM kachomoza unabaki kujiuliza hao waliobaki ni viongozi wa aina gani!!Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura Rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Afrika wa mwaka.
Rais Magufuli anashindanishwa na Marais wa Djibouti, Afrika Kusini, Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora
Japo Magufuli anaongoza lakini kura yako ni muhimu sana
USSRView attachment 1665817View attachment 1670488
Mpk sasa nashangaa kwamba kwanza aliingiaje hkoKalala chali uko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura Rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Afrika wa mwaka.
Rais Magufuli anashindanishwa na Marais wa Djibouti, Afrika Kusini, Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora
Japo Magufuli anaongoza lakini kura yako ni muhimu sana
USSRView attachment 1665817View attachment 1670488
Hivi kuna mahali Magufuli amesema anaitaka hii tuzo? Naona vijana wanapambana kuhamisha watu wampigie....