Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Nikitaka kuunga juhudi za kutoa sifa za kinafki nalipwa million ngapi kwenye siku za mwanzo mwanzo wakati huo nikiwa bado amateur ?
 
Kura yake ya saa 12 na dakika 39 leo j5 kwa hisani ya wapiga kura wa kitanzania
 
Attachments

  • Screenshot_20210106-183914_Chrome.jpg
    63 KB · Views: 1
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nani anateseka sasa? Sisi tupo Ikulu nyie mpo kwa Amsterdam. Haya nani anateseka hapo

Bwahaaa bwahaaaa, yaani nimecheka kinoma mpaka watu wameniuluza nacheka nini. Kwa hiyo mkuu sasa hivi unaishi ikulu ww na familia yako! Daa naomba nisife haraka ili niendelee kusikia hivi vituko.
 
Nimesoma post yako Jamii Forum nimehuzunishwa sana na kiwango chako cha kujipendekeza. Ni vema kupongeza ila pale panapohitaji pongezi, ila kupongeza kwa kujipendekeza ni unafiki na hata Mungu hapendezwi.

Hivi kweli kabisa mtu unajitoa ufahamu kusifia hata yasiyosifika ni kweli nchi yako ina uhuru wa kujieleza kuliko Ghana alikouwawa mwandishi mmoja ?! Nchini kwako hawajauwawa ?!

Unasema Ghana hakuna ajira, vipi ndugu nchi yako ina ajira sana ?! Ni miaka mingapi sasa serikali yako haiajiri na hili umejisahaulisha ?!

Unasema viongozi wa Ghana hawawajibishwi vipi hawa wa nchi yako wanaotuchapa viboko hadharani wao tunawawajibisha ?!.

Ndugu yangu hivi hua mnawezaje kujitia upofu na kujipendekeza kwa kiasi hiki. Itakufaa nini hata ukipata huo uteuzi ila nafsi yako imejaa kujipendekeza na kusifia vya uongo !?

Mwisho nakutakia kia kheri ongeza juhudi kwa ufanyayo kama ndio furaha yako ilipo.
 
Wale malaya malaya wa kisiasa aliosema Nyerere huwa wanamuandiko kama wako
 
Na je tutaonyesha vipi uzalendo baada ya kufukuzwa utumishi ndugu zetu na stahiki zao kuporwa wazi wazi ?

Na je pia tutaonyesha vipi uzalendo wetu baada ya ndugu zetu wapendwa kuokotwa kwenye viroba ?

Tutaonyesha vipi uzalendo wetu kwa kwa kutukanwa na kuchapwa hadharani na wateule wa unaempigia debe ?

Tuonyeshe vipi uzalendo kwa uonevu wa watumishi miaka 6 bila nyongeza ya mishahara iliyoelekezwa na sheria ya ajira wala kupanda madaraja ?

Tuonyeshe vipi uzalendo baada ya ndugu na jamaa zetu kutekwa, kuteswa na wengine tutorudisha kwetu kabisa ?
 
Basi wana ccm ni wengi sana kumbe ee?

Maana nyie wapinzani wote mkisaidiana na wa Ghana mmempita Magu 10% tu

Kwa taarifa yako wapiga kura huko 95% ni watanzania, ccm ndio wanampigia Magufuli, na wale wote wenye ubinadamu na wapenda haki, wanampigia rais wa Ghana maana ndio anastahili tuzo hiyo.

Nje ya mada, hii post yako unaandika ukiwa nyumbani kwako ikulu ya Dodoma au ya Dar?
 
πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† kimeumana, kete inaenda Ghana
 
Unatakwimu zozote kwamba wapiga kura wa hapo 95% ni watz?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…