Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Ushasahau huyu huyu Magufuli ndiye anayemfadhili Musiba aliyekashifu urijali wako? Kweli njaa ikienda kichwani inakuwa hatari sana
 
WACHINA, INDIA, WANIGERIA NAO WAKIAMUA KUMPIGIA RAIS WAO TUTASHINDA?
 
Sio kwamba kawabwaga ila wasouth hawana na Habari na hizo tuzo za kiduanzi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe za kiduanzi?

Sasa mbona Bavicha na bawacha mnahangaika sana kama vile kuna mtu atatolewa ikulu na hizo kura?
 
Hivi duniani kuna wanaompigia dracula mnyonya damu wa Tz? Kura za lumumba na taasisi za elimu na kulazimishana zimefail. South wanajitambua hawalazimishwi!. Ni mateso yaliyoje kuona wananchi wako wanashabikia rais wa nchi nyingine! Diwani ingia kazini watafute uwatumbukize baharini hawa wasaliti!!!! tehe dubuasha limechooka!! Eti demokrasia
 
Umeandika ujinga!

Ndio maana huwa nasema mtaendelea kugongwa na ccm sababu hamjitambui!

Kwanza raia wapi wanamoshabikia rais wa nje? Hao wajinga wachache wa twiter kina kigogo, hilda newton, fatuma, sarungi na wapuuzi wa aina yao?

Hao si hata kwenye uchaguzi mkuu walisema bora wampigie mbwa kuliko ccm?

Endeleeni na ujinga, ila 2025 jueni kipondo kipo palepale.
 
Huyu ataiba kura hata za online atashinda tu hakuna haja kumpigia.
Toka Jumapili mpaka leo bado hajashinda. Hivi kura inapigwaje ili nimpigie Rais wangu wa milele?
 
...Utawala bora unaompa mwananchi wa kawaida fursa ya kummwajibisha Kiongozi wake muda wowote kuliko kusubiri wakati wa uchaguzi kama huko kwa Nana Akufo-Addo wa Ghana.
Wacha ukora..

Kwa Tz hata kwny uchaguzi, wananchi na kura zao hawana sauti.

Nana Akufo-Addo anatosha
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe za kiduanzi?

Sasa mbona Bavicha na bawacha mnahangaika sana kama vile kuna mtu atatolewa ikulu na hizo kura?
Waulize Mataga wenzako kina USSR kwanini wanahangaika kuanzisha thread na magroupe ya kuhamasisha kumpigia kura Magufuli.
 
Hii kura inapigiwa wapi na sisi wengine tupige?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…