Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Tutatoboa kweli kwa Mghana maana naona katuacha mbali
 
Andika tena tutaendelea kuibiwa na CCM sababu hatujitambui.
Nchi ipo vipande vipande!
Idi amin miaka ya 78 alipigana na raia wote milioni 35 wa wakati huo kwa sababu watawala walijenga umoja wa kitaifa.
Lakini kwa wapumbavu na wapuuzi kama wewe waliopo tukivamiwa mtapigana wenyewe. Ninavyoona upepo tutapigwa ndani na nje! Badilikeni ondoa mavi kichwani. Nchi inahitaji kuwa moja!! Kwani ilikuwa ni lazima kufanya wizi mkubwa wa kipumbavu kama ule?
 
Sifa zake, uthubutu wake, umahiri wake wa kuongoza, Imani Kali Sana Kwa Mungu wake, zinavuma kote duniani

Ni wivu wa kijinga Kwa mtu yeyote atakayemnyima Kura!!
Rudu uyase haya maneno... [emoji3525] [emoji3525]
 
Sasa hivi Kenya akituvamia watu kibao tutamsaidia mkenya kabisa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una hasira sana dogo,! Una fikiri kushinda uchaguzi ni sawa na kushinda umonitor wa darasa la nne?

Si umeona kwa bwana zenu usa mlikofikiri mtapata msaada wamekufa watu 4 kisa uchaguzi?

Usifikiri kwamba mlivyoparaganyika hapo ufipa basi ni tz nzima.
 
Ni afadhali kumpigia kura shetani kuwa malaika bora wa mwaka! Nampigia mheshimiwa Nana Akufo-Addo!
 
Magonjwa mtambuka kamwe hayatakuacha.
 
Naona umeandika na namba kabisa..usijari watakutafuta wakupe utendaji kata.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Its time uupumzishe ujinga wako kidogo. Sio sifa kuonyesha watu kuwa wewe ni hamnazo kwa vile unatetea uccm wako!
Au wewe ni mchepuko wa jiwe?
Usinitolee povu lako la hasira mimi!

Kwani unapomshabikia Mbowe na Lisu huwa unakuwa mchepuko wao?

Acha stress basi, jipange kwa 2025 au napo utakimbilia kwa Amsterdam?
 
Usinitolee povu lako la hasira mimi!

Kwani unapomshabikia Mbowe na Lisu huwa unakuwa mchepuko wao?

Acha stress basi, jipange kwa 2025 au napo utakimbilia kwa Amsterdam?
Una stress sana,angalia usijepata magonjwa nyemelezi!Huu mchezo hauhitaji hasira!
 
Hata sijapiga kura tayari nimekuta nimeshapigiwa. By the way kura yangu kwa JPM
 
Mimi nimempigia H.E. Magufuli lakini naona H.E. Nana Akuffo anaelekea kupata ushindi. Mpaka napiga kura H.E. Nana Akuffo alikuwa na 55.23% na H.E. Magufuli alikuwa na 43.16%. Mwisho wa kupiga kura ni kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…