Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Kwel mataga ni mataga
 
Can you come again.
 
Ama kweli bara la Africa ni kama lina laana hivi! Yaani kama katika maraisi wote zaidi ya hamsini JPM kachomoza unabaki kujiuliza hao waliobaki ni viongozi wa aina gani!!
 
Mwenye 'apudeti puliiz' nani anaongoza mpaka sasa?

Jembe letu ana asilimia ngapi huko?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sizitaki mbichi hizi, mlihamasishana weee kumchagua mmeona kaangua lipua tayari ndo mnaanza oooh haitaki hii tuzo, kashindwa tu uyo mwizi wenu wa kura pia muuaji
Hivi kuna mahali Magufuli amesema anaitaka hii tuzo? Naona vijana wanapambana kuhamisha watu wampigie....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…