Tumsaide huyu mtanzania mwenzetu

Tumsaide huyu mtanzania mwenzetu

Sema kila kitu usaidiwe unasitasita nini! Mbona wewe ni muoga nani atakukamata kama unasema ukweli na ushahidi upoo
Sio kwamba naogopa mkuu ila naamini waliofanya makosa ni watumishi wachache tu wasiokuwa waadilifu kwa kazi zao. Sio vizuri kuichafua taasisi yote
 
Yaani pasingekalika, pasingelalika, pasingelika... 😄
CRDB walinisumbua sana kwa kisa ksma hiki wakawa wananidanganya kila siku.
Kuna siku waliniaminisha ndio mwisho lkn wapi.

Kesho yake nilitimua vumbi kwa hasira, kazi ilisimama.

Wabongo usipowatia akili hutafanikiwa.

Asante Mungu kwa nguvu hii ndani yangu.
 
Sio kwamba naogopa mkuu ila naamini waliofanya makosa ni watumishi wachache tu wasiokuwa waadilifu kwa kazi zao. Sio vizuri kuichafua taasisi yote
"MTU yeyote anayeongea Kwa mkato Jambo ambalo linahitaji maelezo ya kutosha ,basi kunakitu anaficha ,ikiwezekana anadanganya " ....

Wewe mkuu kuna vitu unaficha ,unajaribu kutafuta huruma huku jf
 
CRDB walinisumbua sana kwa kisa ksma hiki wakawa wananidanganya kila siku.
Kuna siku waliniaminisha ndio mwisho lkn wapi.

Kesho yake nilitimua vumbi kwa hasira, kazi ilisimama.

Wabongo usipowatia akili hutafanikiwa.

Asante Mungu kwa nguvu hii ndani yangu.

Wabongo bila mikwara huwezi toboa,mimi day one ningewapiga tifu tifu hilo ili nikirudi wasiseme nimewashtukiza
Bila kuwa agressive unakosa haki yako
 
Yaah mimi huwa mvumilivu, lakini danadana zikizidi najigeuzi MGERASI ninachimba bit hatari balaa tupu
 
Unahitaji msaada funguka vyote hapa mwaga mchele hadharani, ficha ficha mwishowe utaikosa haki yako kama kuna wafanyakazi wachache wahuni weka hapa uhuni wao ujulikane wajifunze
 
Ni mtumishi wa umma. Mshahara umeingia kupitia ac ya bank flani naihifadhi. lakini ukawa na nyongeza ya shilings kiasi cha milioni plus. Kutokana na hicho kiasi kilichongoozeka akaunti yake imeshikiliwa. Hawezi hata kuangalia salio.

Kila alipokuwa anaenda kuwaomba waachie account yake ni danadana kuwa baada ya masaa 24 kila kitu litakuwa ok lakini hola.

Ijumaa iliyopita alienda tena kuomba waiachie acount yake. Walimlaghai kwa maneno matam tena mbele ya bank manager kuwa kufika jumatatu kila kitu kitakuwa sawa. Lakini mpaka leo mambo ni yale yale tu. Acount bado haisomi chochote

Kinachotia mashaka ni pale alipoomba bank statement alikuta pesa yake ya mshahara yote haipo ikiwa ni pamoja na kiasi kilichokuwa kimeongezeka. Alikuta pesa aliyoiacha kabla ya mshahara haujatoka. So bank statement zote anazo za baada tu ya mshahara na hii ya juzi aliyokuta mshahara haupo wote na kiasi walichokuwa wameongeza.

Ameongea na customer care makao makuu wanamdirect tawini kuwa case yake inatatuliwa hapo.

Amepambaana kwa gharama kila siku anatoka kijijini kwenda mjini kwa hilo jambo lakini hola

Wataalamu wa mambo haya hii kisheria imekaaje
Afungue kesi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tujifunze kuwa wakali kwenye haki zetu na mali zetu....

Naamini hii kesi inaweza kumpa pesa nzuri tu kama ushahidi wa sauti na hizo slip anazo...

Au unaweza kumtafuta rafiki au mtu mwenye biti kidogo akaenda wakoromea.... Muda mwingine ukichaa huwa nafaida.
Nakazia.

Wa Tz tunaitikadi ya kufanya kila kitu kama ombi kupelekea kuwapa nguvu kubwa sana wale wanaopaswa kututumikia kuhisi kama wanatusaidia.

Kisheria inapaswa alipwe na fidia kwa usumbufu wote huo ila sitostaajabu akiishia kulipa yeye fidia ili account ifunguliwe.
 
Unapoacha kusema n benki gn halafu unakuja hapa kuomba msaada sijui utasaidiwaje
 
CRDB walinisumbua sana kwa kisa ksma hiki wakawa wananidanganya kila siku.
Kuna siku waliniaminisha ndio mwisho lkn wapi.

Kesho yake nilitimua vumbi kwa hasira, kazi ilisimama.

Wabongo usipowatia akili hutafanikiwa.

Asante Mungu kwa nguvu hii ndani yangu.
Ulifanya vyema sana. Kuna dada mmoja msafirishaji wa parcel alikuwa akinisumbua mara kwa mara sasa kuna siku parcel imechelewa halafu akaniambia mbona "kaka sio mwelewa wakati nimeshakuambia nafuatilia?".. kiukweli ilikuwa siku mbaya kwa yule dada na ofisi yake. Niliwaambia kuanzia siku ile wasiniweke kwenye orodha ya "Wateja waelewa".. mzigo ulipatikana saa hiyohiyo. Ila nikawaambia sitaacha kufanya kazi na nyie hata kama hamtaki ila sitavumilia ujinga
 
Ni mtumishi wa umma. Mshahara umeingia kupitia ac ya bank flani naihifadhi. lakini ukawa na nyongeza ya shilings kiasi cha milioni plus. Kutokana na hicho kiasi kilichongoozeka akaunti yake imeshikiliwa. Hawezi hata kuangalia salio.

Kila alipokuwa anaenda kuwaomba waachie account yake ni danadana kuwa baada ya masaa 24 kila kitu litakuwa ok lakini hola.

Ijumaa iliyopita alienda tena kuomba waiachie acount yake. Walimlaghai kwa maneno matam tena mbele ya bank manager kuwa kufika jumatatu kila kitu kitakuwa sawa. Lakini mpaka leo mambo ni yale yale tu. Acount bado haisomi chochote

Kinachotia mashaka ni pale alipoomba bank statement alikuta pesa yake ya mshahara yote haipo ikiwa ni pamoja na kiasi kilichokuwa kimeongezeka. Alikuta pesa aliyoiacha kabla ya mshahara haujatoka. So bank statement zote anazo za baada tu ya mshahara na hii ya juzi aliyokuta mshahara haupo wote na kiasi walichokuwa wameongeza.

Ameongea na customer care makao makuu wanamdirect tawini kuwa case yake inatatuliwa hapo.

Amepambaana kwa gharama kila siku anatoka kijijini kwenda mjini kwa hilo jambo lakini hola

Wataalamu wa mambo haya hii kisheria imekaaje
Wewe lijamaa ni lijinga sana .
Unaulizwa mkoa husika hautaji , benki hautaji , Sasa ulifungua uzi wako ili kuturingishia malalamiko yenu na huyo ndugu yako ?

Kama unaamini unaweza kupata msaada embu tiririka hapa kila kitu labda kama mlitimia hela iliyoongezwa hapo potea kwenye uzi usirudi tena .

Ikiwa unaamini hamjafanya lolote basi weka kila kitu wazi na kwa msaada zaidi weka namba ya manager wa benki hiyo kama unayo itupe PM ndani ya masaa utapata hela yako .

Siku nyingine kuwa muwazi sio kuwa lioga kama watu wa mikoani bana .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Ulifanya vyema sana. Kuna dada mmoja msafirishaji wa parcel alikuwa akinisumbua mara kwa mara sasa kuna siku parcel imechelewa halafu akaniambia mbona "kaka sio mwelewa wakati nimeshakuambia nafuatilia?".. kiukweli ilikuwa siku mbaya kwa yule dada na ofisi yake. Niliwaambia kuanzia siku ile wasiniweke kwenye orodha ya "Wateja waelewa".. mzigo ulipatikana saa hiyohiyo. Ila nikawaambia sitaacha kufanya kazi na nyie hata kama hamtaki ila sitavumilia ujinga
Mbongo akianza kushika milioni msumbufu sana.

Dawa ni kumpelekea moto hadi ajione hafai.

Ujinga huu unafantika Tanzania tu.

Mimi crdb niliwatishia kuwa nikimaliza kuwafokea nikitoka mlango ninakwenda kuwaanika mtsndaoni majinavyenu mlionidanganya na picha ili wateja wakwepe kuhudumiwa nanyi.

Mbona dada alinishika miguu na kuniomba niingie ofisini tuyajenge?
 
Back
Top Bottom