Tumsaide huyu mtanzania mwenzetu

Tumsaide huyu mtanzania mwenzetu

Wewe lijamaa ni lijinga sana .
Unaulizwa mkoa husika hautaji , benki hautaji , Sasa ulifungua uzi wako ili kuturingishia malalamiko yenu na huyo ndugu yako ?

Kama unaamini unaweza kupata msaada embu tiririka hapa kila kitu labda kama mlitimia hela iliyoongezwa hapo potea kwenye uzi usirudi tena .

Ikiwa unaamini hamjafanya lolote basi weka kila kitu wazi na kwa msaada zaidi weka namba ya manager wa benki hiyo kama unayo itupe PM ndani ya masaa utapata hela yako .

Siku nyingine kuwa muwazi sio kuwa lioga kama watu wa mikoani bana .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Mkuu mbona nilishaitaja bank yenyewe pamoja na mahali iliko. Kama unaweza kutoa msaada saidia tu
 
Mbongo akianza kushika milioni msumbufu sana.

Dawa ni kumpelekea moto hadi ajione hafai.

Ujinga huu unafantika Tanzania tu.

Mimi crdb niliwatishia kuwa nikimaliza kuwafokea nikitoka mlango ninakwenda kuwaanika mtsndaoni majinavyenu mlionidanganya na picha ili wateja wakwepe kuhudumiwa nanyi.

Mbona dada alinishika miguu na kuniomba niingie ofisini tuyajenge?
Ulifanya vyema.
 
Mtumishi wa umma mshahara wote umechotwa.
Nenda kwenye taasisi yako utoe maelezo wakuingizie mzigo wako. Sio ww utafute, hapo ni wao. Maana yake mshahara wako hujapewa. Au mimi sijaelewa hii story
 
Tujifunze kuwa wakali kwenye haki zetu na mali zetu....

Naamini hii kesi inaweza kumpa pesa nzuri tu kama ushahidi wa sauti na hizo slip anazo...

Au unaweza kumtafuta rafiki au mtu mwenye biti kidogo akaenda wakoromea.... Muda mwingine ukichaa huwa nafaida.
..Kweli. unawaende kuupole Sana!
Mimi pasingekalika Hapo Mpaka Makao Makuu wangeisikia Kesi yangu !
Yaani Hata kukupa mshahara wako TU Wakalamba hao Branch manager Wao wanajiuma uma?
Mshahara wangu ?
Wanadhani unaishije bila Mshahara wako ?
Changamkaa !
Wanakuchezea hao....![emoji35][emoji35][emoji35]
 
Si afungue kesi ya madai apige mpunga mrefu!Hana mwanasheria?
 
Ni mtumishi wa umma. Mshahara umeingia kupitia ac ya bank flani naihifadhi. lakini ukawa na nyongeza ya shilings kiasi cha milioni plus. Kutokana na hicho kiasi kilichongoozeka akaunti yake imeshikiliwa. Hawezi hata kuangalia salio.

Kila alipokuwa anaenda kuwaomba waachie account yake ni danadana kuwa baada ya masaa 24 kila kitu litakuwa ok lakini hola.

Ijumaa iliyopita alienda tena kuomba waiachie acount yake. Walimlaghai kwa maneno matam tena mbele ya bank manager kuwa kufika jumatatu kila kitu kitakuwa sawa. Lakini mpaka leo mambo ni yale yale tu. Acount bado haisomi chochote

Kinachotia mashaka ni pale alipoomba bank statement alikuta pesa yake ya mshahara yote haipo ikiwa ni pamoja na kiasi kilichokuwa kimeongezeka. Alikuta pesa aliyoiacha kabla ya mshahara haujatoka. So bank statement zote anazo za baada tu ya mshahara na hii ya juzi aliyokuta mshahara haupo wote na kiasi walichokuwa wameongeza.

Ameongea na customer care makao makuu wanamdirect tawini kuwa case yake inatatuliwa hapo.

Amepambaana kwa gharama kila siku anatoka kijijini kwenda mjini kwa hilo jambo lakini hola

Wataalamu wa mambo haya hii kisheria imekaaje
Hilo ongezeko la mshahara zaidi ya milioni ni sahihi? Anatakiwa atoe taarifa kwa afisa utumishi ofisi aliyopo ili waingie kwenye mfumo wa mshahara ambao umeungwa na Hazina ili Kwanza wahakiki mshahara na kama kuna ongezrko la mshahara ni lazima linakuwa official unapewa taarifa. Asilogwe kwenda kutoa pesa kwenye hiyo account. Apeleke hiyo hiyo statement ya account ambayo inaonesha movement ya hiyo pesa na msharaha wake ulivyoingia na ulivyotolewa. Vinginevyo akikaaa kimya na kama ni ule mchezo wa maofisa mishahara kula na bank kuoitia mshshara basi na yeye ataunganishwa huko. Narudia tena afanye haraka vinginevyo yatamkuta makubwa ya utakatishaji fedha na uhujimu uchumi.

Yaani ni hivi akikuta kuna mshahara umepita na afisa rasilimali watu wa ofisi yake hajui itabidi haraka Sana aandike barua kwenda kwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha kupitia kwa Mwajiri wake ili kuelezea hilo Jambo na copy ya barua awe nayo na kwenye file lake la siri kazini iwepo. Tena iwe Confidential letter ili ajinasue hapo. Hilo ni kosa kubwa Sana.
 
Umejikita kwenye kutisha badala ya kutoa usahuri wa kujenga.
 
last option ndogo Tu.

Waambie toka siku ya kwanza wanavyokupiga danadana ulikuwa unarecord each and everything..

Sasa unawapa saa 24 hela yako irudi la sivyo unawaharibia mtandaoni na pia unafungua kesi ya madai....

jitahidi kwadakika chache tu kuwa mbogo alafu ondoka...haitakuharibia chochote.
 
Umejikita kwenye kutisha badala ya kutoa usahuri wa kujenga.
Hakuna zaidi ya hivyo nilivyosema. Sheria ya utumishi ikifuatwa kwa kosa hilo no hatari Sana. Bora ajihami mapema. Kama unaona ni tishio wakati nimempa njia za kupita basi ngoja niishie hapo.
 
Kazi za umma ni utumwa, yaani milioni 1 mtumishi anasumbuliwa
 
Ina maana amejiingizia pesa mwenyewe from unknown source na amejifungia mshara wake au siyo
Hiyo ni njia wanatumia maafisa mishahara na ni mtandao mrefu mpaka maafisa wa bank wanahusishwa. Wanatumia account za watu. Usiposhtuka unakuta umeingiziwa pesa halafu inatolewa unaambiwa iliingizwa kimakosa. Kifupi mishahara inaratibiwa kwa system ambayo maafisa rasilimali watu wa serikali wanaingiza data za mshahara. Hazina inagawa kutumia mfumo kwa kila Mtumishi anayepokea mshahara kupitia Hazina. Wako wanaolipwa na agency au Idara za🔥serikali hazipitishi Hazina. Kote huko kunapigwa kimtindo. Ninaongea haya kwa sababu nina utaalam nayo na ninajua madhara yake. Yaani aripoti mara moja hili sakata vinginevyo waliolichonga wakijua amejuwa na analeta figisu watamgeuka na kesi yake ni mbaya. Mpaka aje ajitetee utakuta amesimamishwa KAZI na watamuundia zengwe mpaka ufukuzwe. Huo mtandao si wa kitoto. Take it or leave it.
 
Wabongo wanyonge sana na hawajui haki zao...weka fully details hapa benki gani na tawi gani.? Na jina la meneja ,huu uzembe na uonevu haukubaliki kabisa, Uone mapema tu limeisha. Hao mameneja wanakutana na watu wa pole sana .....kwenye haki yako idai kwa njia zote.
 
Ni mtumishi wa umma. Mshahara umeingia kupitia ac ya bank flani naihifadhi. lakini ukawa na nyongeza ya shilings kiasi cha milioni plus. Kutokana na hicho kiasi kilichongoozeka akaunti yake imeshikiliwa. Hawezi hata kuangalia salio.

Kila alipokuwa anaenda kuwaomba waachie account yake ni danadana kuwa baada ya masaa 24 kila kitu litakuwa ok lakini hola.

Ijumaa iliyopita alienda tena kuomba waiachie acount yake. Walimlaghai kwa maneno matam tena mbele ya bank manager kuwa kufika jumatatu kila kitu kitakuwa sawa. Lakini mpaka leo mambo ni yale yale tu. Acount bado haisomi chochote

Kinachotia mashaka ni pale alipoomba bank statement alikuta pesa yake ya mshahara yote haipo ikiwa ni pamoja na kiasi kilichokuwa kimeongezeka. Alikuta pesa aliyoiacha kabla ya mshahara haujatoka. So bank statement zote anazo za baada tu ya mshahara na hii ya juzi aliyokuta mshahara haupo wot

Ni mtumishi wa umma. Mshahara umeingia kupitia ac ya bank flani naihifadhi. lakini ukawa na nyongeza ya shilings kiasi cha milioni plus. Kutokana na hicho kiasi kilichongoozeka akaunti yake imeshikiliwa. Hawezi hata kuangalia salio.

Kila alipokuwa anaenda kuwaomba waachie account yake ni danadana kuwa baada ya masaa 24 kila kitu litakuwa ok lakini hola.

Ijumaa iliyopita alienda tena kuomba waiachie acount yake. Walimlaghai kwa maneno matam tena mbele ya bank manager kuwa kufika jumatatu kila kitu kitakuwa sawa. Lakini mpaka leo mambo ni yale yale tu. Acount bado haisomi chochote

Kinachotia mashaka ni pale alipoomba bank statement alikuta pesa yake ya mshahara yote haipo ikiwa ni pamoja na kiasi kilichokuwa kimeongezeka. Alikuta pesa aliyoiacha kabla ya mshahara haujatoka. So bank statement zote anazo za baada tu ya mshahara na hii ya juzi aliyokuta mshahara haupo wote na kiasi walichokuwa wameongeza.

Ameongea na customer care makao makuu wanamdirect tawini kuwa case yake inatatuliwa hapo.

Amepambaana kwa gharama kila siku anatoka kijijini kwenda mjini kwa hilo jambo lakini hola

Wataalamu wa mambo haya hii kisheria imekaaje
Salary slip inaonesha hicho kiasi Cha nyongeza? Kama jibu ni ndio,atafute mwanasheria ashughulikie hiyo kesi ya jamaa yako. Hapo Kuna pesa nyingi Kwa ajili ya usumbufu wa mteja na wizi wa kuaminika.

Akimaliza kusolve hiyo case yake aandike barua Kwa HR wake kuomba kuhamisha mshahara wake kwenda bank nyingine, ( ahamie Crdb hawanaga mambo ya kipuuzi namna hii)
 
Ni mtumishi wa umma. Mshahara umeingia kupitia ac ya bank flani naihifadhi. lakini ukawa na nyongeza ya shilings kiasi cha milioni plus. Kutokana na hicho kiasi kilichongoozeka akaunti yake imeshikiliwa. Hawezi hata kuangalia salio.

Kila alipokuwa anaenda kuwaomba waachie account yake ni danadana kuwa baada ya masaa 24 kila kitu litakuwa ok lakini hola.

Ijumaa iliyopita alienda tena kuomba waiachie acount yake. Walimlaghai kwa maneno matam tena mbele ya bank manager kuwa kufika jumatatu kila kitu kitakuwa sawa. Lakini mpaka leo mambo ni yale yale tu. Acount bado haisomi chochote

Kinachotia mashaka ni pale alipoomba bank statement alikuta pesa yake ya mshahara yote haipo ikiwa ni pamoja na kiasi kilichokuwa kimeongezeka. Alikuta pesa aliyoiacha kabla ya mshahara haujatoka. So bank statement zote anazo za baada tu ya mshahara na hii ya juzi aliyokuta mshahara haupo wote na kiasi walichokuwa wameongeza.

Ameongea na customer care makao makuu wanamdirect tawini kuwa case yake inatatuliwa hapo.

Amepambaana kwa gharama kila siku anatoka kijijini kwenda mjini kwa hilo jambo lakini hola

Wataalamu wa mambo haya hii kisheria imekaaje
Jina la Mhanga umelihifadhi,jina la bank umelihifadhi na mkoa anaotoka nao umelihifadhi alaf unataka tukusaidie???

Ni aina gani ya msaada unaoutaka???
 
Mbona hiyo bank baadhi tumeshaijua tu, na kutaja jina sio madini kivile kurinda usalama wa mlalamikaji.
 
Hiyo ni njia wanatumia maafisa mishahara na ni mtandao mrefu mpaka maafisa wa bank wanahusishwa. Wanatumia account za watu. Usiposhtuka unakuta umeingiziwa pesa halafu inatolewa unaambiwa iliingizwa kimakosa. Kifupi mishahara inaratibiwa kwa system ambayo maafisa rasilimali watu wa serikali wanaingiza data za mshahara. Hazina inagawa kutumia mfumo kwa kila Mtumishi anayepokea mshahara kupitia Hazina. Wako wanaolipwa na agency au Idara za🔥serikali hazipitishi Hazina. Kote huko kunapigwa kimtindo. Ninaongea haya kwa sababu nina utaalam nayo na ninajua madhara yake. Yaani aripoti mara moja hili sakata vinginevyo waliolichonga wakijua amejuwa na analeta figisu watamgeuka na kesi yake ni mbaya. Mpaka aje ajitetee utakuta amesimamishwa KAZI na watamuundia zengwe mpaka ufukuzwe. Huo mtandao si wa kitoto. Take it or leave it.
Mkuu umeelezea vizuri ila wabongo wengi wanachukulia poa sana kukuta pesa kwenye account zao. Wanadhani ni bahati kumbe wahalifu wako kazini. Kimsingi mleta uzi na huyo mhanga wa hili tatizo kwa pamoja ni wapuuzi. Labda kama uzi umeletwa ili kujifurahisha. Kesi za utakatishaji pesa madhara yake ni makubwa sana hata kama utashinda kesi.
 
Back
Top Bottom