bandeko andeko
JF-Expert Member
- Oct 20, 2021
- 1,080
- 2,143
kama huyo jamaa jambo dogo namna hilo limemshinda kufanya maamuzi hastahili kuishi na mke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ataoa mwingine, mbona wanawake ni wengi sana poti wangu!Akila mzigo , dada mtu akijua si ndio mwisho wa ndoa??
Pambafff...wewe ndiye dada wa huyo binti?Huyu bwana kanijia na jambo Lake kwakuwa ananiona nabusara naweza mpa ushauri, lakini na mimi naona kama nakosa majibu tumsaidie.
Nyumbani kwake kaja kuishi shemeji yake, ni binti mbichi tu.
Sasa shemeji anamtaka jamaa, na kamfungukia huyu ndugu.
Ila jamaa , anamwambia hilo haliwezekani kwakua kamuoa dada yake.
Binti anasisitiza mahusiano anadai akizidi kumkataa atamwambia dada yake kuwa jamaa kamtongoza.
Jamaa ana mashaka ;
1. Dada akiambiwa kuwa anamtongoza mdogo wake atachukuliaje.
2. Akimkubali shemeji dada akijua , itakuwa mwisho wa ndoa.
Jamaa, afanyaje,
1. Amkubali shemeji.
2. Amkatae?
3. Amfukuze?
simple afanye kama anamkubalia na atake uhakikisho wa mwisho toka kwake ....wakat wote huo awe anamrekod kwa smu....kisha awape mualiko wazazi wa mkewe waje kula weekend alafu aweke rekod kwa flash aplay kwa sabufaHuyu bwana kanijia na jambo Lake kwakuwa ananiona nabusara naweza mpa ushauri, lakini na mimi naona kama nakosa majibu tumsaidie.
Nyumbani kwake kaja kuishi shemeji yake, ni binti mbichi tu.
Sasa shemeji anamtaka jamaa, na kamfungukia huyu ndugu.
Ila jamaa , anamwambia hilo haliwezekani kwakua kamuoa dada yake.
Binti anasisitiza mahusiano anadai akizidi kumkataa atamwambia dada yake kuwa jamaa kamtongoza.
Jamaa ana mashaka ;
1. Dada akiambiwa kuwa anamtongoza mdogo wake atachukuliaje.
2. Akimkubali shemeji dada akijua , itakuwa mwisho wa ndoa.
Jamaa, afanyaje,
1. Amkubali shemeji.
2. Amkatae?
3. Amfukuze?
Binafsi sijamuelewaKwa aliyemuelewa afafanue vzr
Tatizo liko kwa mwanaume,manhood inapotea kwa kasiKwanza anaanzaje kukwambia huo upuuzi?, anakula kofi moja matata na atafute kwa kwenda....ana ufala mwingi hadi mtoto anadhubutu kukwambia ujinga.