Tumsaidie huyu ndugu: Shemeji yake anamtaka akimkataa atamwambia dada yake

Tumsaidie huyu ndugu: Shemeji yake anamtaka akimkataa atamwambia dada yake

Kama shemeji ana gut ya kumtishia huyo jamaa nyumbani kwake, basi asifanye naye chochote.
Hamuwezi huyo dada na ataharibu tu ndoa yake kwa aibu.
 
Hongera kwa msimamo wa jamaa! Lakin hivi nyie hizi cm zenye sehemu ya recording, huwa mnazitumiaje! Kama kaanza vitisho fanya recoding vzr na hiyo record itakulinda badae akisema anamwambia dada yake. Uki-record, usimsikilizishie dada yake, subiri hadi mwenyewe akiyakoroga ndipo utamwaga mchele sasa! Huyo jamaa ana akili sana sema kuna sehemu hajamtaftia madhaifu huyo mdg mtu.

Asije akajaribu kulala nae, siku hizi hata mtu akiwa vzr kila kitu lkn kwa ndani unakuta kashaoza. Alafu pia anaweza kulala nae alafu mara mimba ikashika. Ataiweka wapi sura yake. ASITHUBUTU ABADANI. NIMEKATAA KABISA.
 
ww bado ni mvulana tu au huyo mkeo ndio anakuhudumia, anakulea na kukutunza au unaishi kwenye nyumba ya mwanamke..haingii akilini eti kwa mwanaume aliye na maamuzi ndani ya nyumba kupelekeshwa na mdogo wa mkeo eti akutongoze mume wa dada mbona amekuchukulia poa sana na bado anakutishia ooh usipomkubali namwambia dada nawe mwanaume unaingia baridi na kuogopa labda utafukuzwa na mkeo si anakulea.!
 
Mambo ya kipuuzi, anashindwa kurekodi maongezi Yao ili awe na ushahidi ili amkatalie mbali mtoto wa Jezebeli
# No malice to anybody
 
Huyu bwana kanijia na jambo Lake kwakuwa ananiona nabusara naweza mpa ushauri, lakini na mimi naona kama nakosa majibu tumsaidie.

Nyumbani kwake kaja kuishi shemeji yake, ni binti mbichi tu.

Sasa shemeji anamtaka jamaa, na kamfungukia huyu ndugu.

Ila jamaa , anamwambia hilo haliwezekani kwakua kamuoa dada yake.

Binti anasisitiza mahusiano anadai akizidi kumkataa atamwambia dada yake kuwa jamaa kamtongoza.

Jamaa ana mashaka ;

1. Dada akiambiwa kuwa anamtongoza mdogo wake atachukuliaje.

2. Akimkubali shemeji dada akijua , itakuwa mwisho wa ndoa.

Jamaa, afanyaje,

1. Amkubali shemeji.

2. Amkatae?

3. Amfukuze?
Pambafff...wewe ndiye dada wa huyo binti?
 
Huyu bwana kanijia na jambo Lake kwakuwa ananiona nabusara naweza mpa ushauri, lakini na mimi naona kama nakosa majibu tumsaidie.

Nyumbani kwake kaja kuishi shemeji yake, ni binti mbichi tu.

Sasa shemeji anamtaka jamaa, na kamfungukia huyu ndugu.

Ila jamaa , anamwambia hilo haliwezekani kwakua kamuoa dada yake.

Binti anasisitiza mahusiano anadai akizidi kumkataa atamwambia dada yake kuwa jamaa kamtongoza.

Jamaa ana mashaka ;

1. Dada akiambiwa kuwa anamtongoza mdogo wake atachukuliaje.

2. Akimkubali shemeji dada akijua , itakuwa mwisho wa ndoa.

Jamaa, afanyaje,

1. Amkubali shemeji.

2. Amkatae?

3. Amfukuze?
simple afanye kama anamkubalia na atake uhakikisho wa mwisho toka kwake ....wakat wote huo awe anamrekod kwa smu....kisha awape mualiko wazazi wa mkewe waje kula weekend alafu aweke rekod kwa flash aplay kwa sabufa
 
Hapo anataka ushauri gani mtu anataka mwenyewe ye amkule dogo dada mtu akijua wataya solve mbele ya safari. Maisha haya mafupi kwanini ujinyime mtu amejileta mwenyewe dushe siyo pencil kwamba itaisha ikitumika sana.

Hata ukijidai mstaarabu namna gani huwezi kuishi zaidi ya miaka 120 we ale chombo hiyo maisha ni hayahaya tu.
 
Sasa kwani ni deni?

Si yeye aanze kumwambia mkewe? Next time akitongozwa amrekodi binti kisha ajielezee kwa mkewe

Kama anajifanya msabato kiasi hicho
 
Kwanza anaanzaje kukwambia huo upuuzi?, anakula kofi moja matata na atafute kwa kwenda....ana ufala mwingi hadi mtoto anadhubutu kukwambia ujinga.
 
Mwanaume unakosaje maamuzi kwa kitu kidogo hivi,kwanza kitendo cha huyo shemeji kumtongoza inaonekana ni mwanaume legelege asiyejitambua.
Si afukuze huyo dogo,dada yake naye akileta ujinga fukuza wote.
Ameshindwa hata kutunza ushahidi,kwanza hawatakiwi kufika kote huko.
 
Wanaume siku hizi tumekua lonya lonya sana. Yan binti amekuja kwako amekukuta na familia yako kwa sababu ya tamaa zake anataka akuondolee amani halafu kama mwanaume unashindwa kulipangua jambo dogo kama hilo.

Linalowezekana kutatulika kwa ugomvi usijaribu kulitatua kwa amani. Utaumia wewe. Nginja Nginja mwambie jamaa aache ufala tutaanza kumpeleka kwa Gynecologist shauri yake
 
Ni marioo bila shaka, kama yeye ndo analipa bill hawezi letewa dharau kindezi na shemeji..
Au jamaa ana udhaifu na shemeji anajua dada mtu anamvumilia na udhaifu wake.

Shem akilikoroga basi mke nae atachoka kuvumilia jamaa ataachwa??
 
Back
Top Bottom