Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

Mtaka Anaweza Endapo Tu Ataitenda Kazi Hiyo Bila Kufuata Upepo
Huyo mjita sijui mkerewe ana kujisikia sana, ana u-yego Jaji, Yego Masika, chikaka, hafai, halafu akipata changamoto ndio unajua hana akili kabisa ukiacha vile vi akili vya kusoma vitabu vya motivation. Fuatilia alipokuwa mkuu wa mkoa wa dodoma, haku-fit kabisa
 
Ismail Aden Rage anatosha hoyo nafasi.
FB_IMG_1711864710612.jpg
 
Back
Top Bottom