Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama!

tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake!

wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
Hili sio suala la wanajf, Bali ni suala la wanaccm. Sisi wengine hicho chama kwetu ni laana.
 
nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama!

tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake!

wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
John Mongela
 
Back
Top Bottom