Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
Jamii ipi ya kuikubali CCM?nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama!
tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake!
wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
CCM watu wenye akili hawahitajiki, labda akubali Kwanza kuzifungia akili zake kabatini.
Huyo mjita sijui mkerewe ana kujisikia sana, ana u-yego Jaji, Yego Masika, chikaka, hafai, halafu akipata changamoto ndio unajua hana akili kabisa ukiacha vile vi akili vya kusoma vitabu vya motivation. Fuatilia alipokuwa mkuu wa mkoa wa dodoma, haku-fit kabisaMtaka Anaweza Endapo Tu Ataitenda Kazi Hiyo Bila Kufuata Upepo
AmenHUYU PICHANI NI NI MWENEZI WA HAKI HAKUNA MFANO WAKE View attachment 2949721
PASAKA NJEMA KWENU NYOTE
Anthony mtaka hata uwaziri mkuu wa hii nchi anauweza sijawahi kuwa na shaka naeMtaka Anaweza Endapo Tu Ataitenda Kazi Hiyo Bila Kufuata Upepo