peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Tatizo Huwa anajisahau!Anthony mtaka hata uwaziri mkuu wa hii nchi anauweza sijawahi kuwa na shaka nae
Hili sio suala la wanajf, Bali ni suala la wanaccm. Sisi wengine hicho chama kwetu ni laana.nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama!
tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake!
wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
Yule dogo Shaka alikuwa safi.nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama!
tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake!
wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
Hii peleka jukwaa la ccm.nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama!
tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake!
wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
huyu chawa mshambaLucas mwashambwa anatosha
Nafasi ya Ally Hapi hionafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama!
tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake!
wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
John Mongelanafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama!