Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

Hiyo nafasi inataka fitna na Kafulila fitna anaiweza. Shida ni historia yake ya kukułia upinzani MaCCM ayapendi kuona mtu ambae ajapitia succession planning yao kushika nafasi za chama chao. Vinginevyo Kafulila angemtendea haki ‘bi tozo’ katika hiyo nafasi.
 
Achukue Katibu mmoja wa CCM huko mikoani amweke hapo, sio kila mwaka wanatoka Makao Makuu au OND ya Chama tu
 
Umsaidie mtu wakati anasaidiwa na CAG mwaka wa pili huu kaziba masikio.Kiburi

Mwache apotee
 
Nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama!

Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake!

Wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
Kazi ipo.....
 
Nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama!

Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake!

Wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
MAHITA ni chaguo la wengi niliokutana nao.
 
KUA MWENEZI, UNATAKIWA UWE NA KIBALI CHA KUKUBALIKA NA WATU .NA KIBALI HIKI MTU ANAZALIWA NACHO, UNAPEWA NA MUNGU TU.



KWA SASA HAMNA MTU CCM MWENYE KIBALI HIKO.

WOOOTE WAJAO, WATABAKI KUTEGEMEA WASANII ILI KUJAZA NYOMI LA WATU.


MAKONDA ALIKUA NA KIBALI HIKO KUTOKA KWA MUNGU MWEMYEWE, ALIMPA, NA ITABAKI KUA HIVO.

KAMA UNABISHA, CHUKUA MITUNGI YA GESI UITE WATU MKUTANONI KWAKO


ALAFU KESHO YAKE, MAKONDA AITE WATU BILA KITU CHOCHOTE, ZAIDI YA KUZUNGUMZA NAO.

NDIO UTAELEWA KIBALI NA MAMLAKA, HUTOKA KWA MUNGU
Peleka ujinga mbali, unadhani hatujui nguvu iliyokuwa inatumika kumjazia watu huyo muhalifu? Tazama ule msafara wake uliopata ajali uone Yale magari kama ni ya ccm. Nguvu iliyotumika kumpatia yale magari ya serekali, ndio iliyokuwa inatumika kumjazia watu.
 
Nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama!

Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake!

Wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
Mwijaku
 
List hii nadhani utapata yupi anofaaa kwa sasa

1 Nape
2 Dotto magari
3 Haji manara
4 mwin jaku
5 Pimbi
6 mpoke
7 Baba levo
8 Joti
9 Steve nyerere

Hii list lazima upate mtu kazi kazi .
Ongeza Kibajaji,Juma Lokole n Mzee wa Tip Top Connection
 
Huyo mjita sijui mkerewe ana kujisikia sana, ana u-yego Jaji, Yego Masika, chikaka, hafai, halafu akipata changamoto ndio unajua hana akili kabisa ukiacha vile vi akili vya kusoma vitabu vya motivation. Fuatilia alipokuwa mkuu wa mkoa wa dodoma, haku-fit kabisa
Kila andiko lako kuhusu Mtaka huwa unaandika hizo sentensi yaani una copy na ku-paste una chuki gani naye maana sio mara ya kwanza , kusema Mtaka anajisikia, au ninyi ni wale wazazi mnataka watoto wenu wasaidiwe ajira aliposhindwa kuwasaidia mnamnanga..Wajita kujisikia/kudharau hiyo ndo Sifa yao kama walivyo wasukuma ni washamba automatic hiyo ni hulka yao na huwezi kuiondoa maana ndo Sifa Inayowatambulisha km wahaya walivyo na majivuno.
 
Habari ndg great thinkers!! Nimeona mkeka mpya wa mama! Nimeutafakari kwa kina! Hakika kila Rais anapenda kufanya kazi na team anayoiamini! Mengine tumuachie Mungu!

Kwa Leo mchango wangu ni kuhusu Herry James! Hakika anafaa kuwa Mwenezi CCM (T) kwasababu zifauatazo:-
1. Ana ushawishi mkubwa Katika kujenga hoja na kuachilia hotuba tamu!
2. Elimu yake ipo vizuri
3. Ni mtu mwenye kujenga team work
4. Ni mtu mwenye kusikiliza, kutatua kero na anao uwezo mkubwa ktk kusamehe
5. Ni mtulivu! Ataweza kumsikiliza mama na kumsaidia kukijenga na kukiimarisha chama.
6. Madhaifu ya kibinadamu kila mtu anayo! Akiwekwa chini na kupata ushauri vizuri hata yanayoonekana ni madhaifu yatabadilika kuwa strength!!

Naomba kuwasilisha!!!
Queen Esther wa JF
Huyu ni mpuuzi kama DAB tu ..ni kopo na mfuniko..
Ni wale vijana wa Magufuli Wa Hovyoo
 
Back
Top Bottom