Tumsaidie Rais Samia

Tumeanza kuwaeleqa wana CCM waliotaka kupindua meza baada tu ya mwendazake kusepa!!

Yaliyoendelea kati ya Gwaji na shemeji yake ni ishara tosha kabisa kwamba hamna kitu humo.
 
Duuuuuh idea hii uliyoitoa kuna jamaa angu aliwahi niambia tukiwa tunajadiliana masuala mbalimbali yanayoendelea nchini,,yeye alisema inatakiwa kuwe na think tank ya taifa ya watu kama 10,,hivi wawe huru na Raisi akikosea wamuweke sawa cha msingi maslahi mapana ya taifa yalindwe n sio maslahi binafsi ya chama au vingozi.so nahisi hii idea ni nzuri
 
Kama yanayosemwa ni kweli kwanini yuko kimya? Kwanini huu uovu unaruhusiwa kuendelea? Kama kazi haiwezi basi AJIUZULU!
Uovu gani huo uliopo ambao wewe umeuona na yeye ameshindwa kuona
 
Kwa kweli hii ni kashfa nzito, kwengine duniani angesha step down, mkuu ungekuwa wewe ungefanya, ungeachia kiti?lol

SIo rahisi kihivo mkuu, kama unakumbuka alitaka ku stape down wakati akiwa Vice President akashindwa, Hawa jamaa sio watu wazuri kabisa
 

What should we do?... tumsaidie kuona wapi hajasimama katika nafasi yake kama Rais, kwa mfano kama ni kweli tunasimamiwa na Majaliwa na Tiss..nini kimepelekea iwe hivi??...mimi i'm guessing behind that bold look,there's insecure..not very confident woman! mambo mengi anayapass kwa wengine..sasa .sisi ili tu move foward tunampa stratergies za ku deal na hio weakness yake...kila mtu ana weakness yake ambayo if dealt with mambo yanakua fine, hivyo tusimfanye ahisi hawezi kiti cha urais,.mimi ndio nimetoa hili wazo la kuwa na watu wachache/tume anaowasiliana nao, hii ni kama stratergy , sababu atakua na nafasi kubwa zaidi ya kuongea/kusikilizwa/kuhoji/ na kadri atakavyoendelea kuwasiliana nao na kuona yeye na hio team wanafanya vizuri ndivyo itakavyomjengea confidence. Besides hatuhitaji mawaziri/wabunge 100000000 serikalini just because katiba inaruhusu,tunahitaji watu wachache wanaotoa practical sollutions...

Kuhusu nani ataunda hio tume, becky hapa hahaaaaaa.... kiukweli kitu ningependa ku suggest ni Rais mwenyewe ndio asimamie hilo zoezi,ila liwe toauti kidogo,badala ya kuchagua yeye watu wake, atangaze tenda..ajira watu suitable wapewe kazi...tena hii iwe kwa kazi zote za serikali hii ya kuchaguana ina tucost sana...haya mambo ya katiba tuyaache mkuu naona kama there's nothing we can do about it
 
Ni wazo zuri, ila sasa hata sijui tunaanzia wapi😅😅
 
Hicho kikundi kitaitwaje ?
 
Hicho kikundi kitaundwa na nani ?

Kwa mujibu wa sheria ipi ?

Kitawajibika kwa nani ?

Kitapatikanaje ?

Wajumbe wake nani ataainisha sifa za hao wajumbe ?

Majukumu yake ni yapi ?
 
Mkuu yupo hapo mpaka 2025, tumsaidie pale penye mapungufu..tukisusa ni sisi ndio tunaumia zaidi...
Okay okay
Nakubaliana nawe, haya tunawapataje hao wazalendo 5?

Inawezekana anayeshauriwa anaona tunakosea kumshauri
 
Kama SSH yuko kama kivuli, Lissu yupo kama msukule huko aliko akitamani arejee na kupata ujiko kuliko huko ambako amefulia.
 
Mkuu huyaoni yanayoendelea nini hapa nchini mwetu?? Kuna tatizo kubwa la kiuongozi hasa pale Juu. Yaani pamepwaya mno. Nikupe mf mmoja tu: Gwajiboy katamka wazi kuwa kuna Viongozi wamekula rushwa ili chanjo iingie nchini. Hii alimlenga Rais. Waziri wa Afya ambae ni sehemu ya Serikali akatoa amri akamatwe kisha ahojiwe. IGP kachomoa. Ndugai katoa maelekezo Kwa IGP nae kagomewa. Mama kimyaaaa. Kwako wewe unapata picha gani kwenye Uongozi wa Juu??

Au hadi Serikali itakaposhindwa kuwalipa mishahara watumishi wake ndio utaelewa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…