Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuuuh idea hii uliyoitoa kuna jamaa angu aliwahi niambia tukiwa tunajadiliana masuala mbalimbali yanayoendelea nchini,,yeye alisema inatakiwa kuwe na think tank ya taifa ya watu kama 10,,hivi wawe huru na Raisi akikosea wamuweke sawa cha msingi maslahi mapana ya taifa yalindwe n sio maslahi binafsi ya chama au vingozi.so nahisi hii idea ni nzuriHello wana JF,
Sijui kama yaliyosemwa na Lissu kuhusu Rais wetu ni kweli??? kuwa rais wetu yupo kama kivuli wanaoishikilia nchi ni wengine...
Binafsi ningependa kushauri kama ni kweli, Structure/ muundo na majukumu ya anayehodhi kiti cha Urais kunahitaji mabadiliko...
iundwe kikundi cha watu wenye elimu tofauti,uzoefu tofauti, wao ndio waongoze nchi, wasiozidi watano,
hao mawaziri wabunge hawakupatikana kihalali wanajali zaidi interests zao, wanampeleka mama shimoni,
halafu ni wengi mno, wanapata wapi muda hata wa kusikilizana ??.....
Akiunda hii independent body kama watu 5 muwe wawe wanakutana private away from bunge/baraza la mawaziri na influences zao....
..Ataona confidence yake inapanda sababu mko close na una muda wa kuwasikiliza na kuweka mikakati, follow up ya hio mikakati...ni idea tu wakuu.....
SiJASEMA BUNGE/BARAZA LA MAWAZIRI LIVUNJWE...
Uovu gani huo uliopo ambao wewe umeuona na yeye ameshindwa kuonaKama yanayosemwa ni kweli kwanini yuko kimya? Kwanini huu uovu unaruhusiwa kuendelea? Kama kazi haiwezi basi AJIUZULU!
"We are on ze raiti traki" In Mwendazake's voiceTulieni nyie, nchi ipo salama
View attachment 1932377
Kwa kweli hii ni kashfa nzito, kwengine duniani angesha step down, mkuu ungekuwa wewe ungefanya, ungeachia kiti?lol
Uovu gani huo uliopo ambao wewe umeuona na yeye ameshindwa kuona
My dear, yeye na mamlaka yote hayo aliyopewa na katiba, mamlaka yanayomwezesha kuuza hata mkoa wowote wa tanzania ameshindwa kujisaidia, yaani kutoa tu hata neno la mamlaka la kuwapotezea mbali wale wanaomkwamisha, sisi tutamsaidiaje, kimawazo? Any idea from you? Kivitendo? What should we do? Tuandamane kushinikiza? Polisi watatupiga kama mbwa koko, umesema iundwe tume au jopo, nani ataunda? Kwa mamlaka yapi?
Na je Katiba yetu inasemaje kuhusu majukumu ya Rais, tunaweza kutengua viipengele vya katiba? Hao waliokiuka katiba na kubadilisha majukumu ya Rais, wana mamlaka gani? Ni wakina nani, na wamefanya hivyo kwa nini? Nani yupo nyuma yao? Ni jeshi? TISS? What is the hiden agenda behind all that?
Ni wazo zuri, ila sasa hata sijui tunaanzia wapi😅😅What should we do?... tumsaidie kuona wapi hajasimama katika nafasi yake kama Rais, kwa mfano kama ni kweli tunasimamiwa na Majaliwa na Tiss..nini kimepelekea iwe hivi??...mimi i'm guessing behind that bold look,there's insecure..not very confident woman! mambo mengi anayapass kwa wengine..sasa .sisi ili tu move foward tunampa stratergies za ku deal na hio weakness yake...kila mtu ana weakness yake ambayo if dealt with mambo yanakua fine, hivyo tusimfanye ahisi hawezi kiti cha urais,.mimi ndio nimetoa hili wazo la kuwa na watu wachache/tume anaowasiliana nao, hii ni kama stratergy , sababu atakua na nafasi kubwa zaidi ya kuongea/kusikilizwa/kuhoji/ na kadri atakavyoendelea kuwasiliana nao na kuona yeye na hio team wanafanya vizuri ndivyo itakavyomjengea confidence. Besides hatuhitaji mawaziri/wabunge 100000000 serikalini just because katiba inaruhusu,tunahitaji watu wachache wanaotoa practical sollutions...
Kuhusu nani ataunda hio tume, becky hapa hahaaaaaa.... kiukweli kitu ningependa ku suggest ni Rais mwenyewe ndio asimamie hilo zoezi,ila liwe toauti kidogo,badala ya kuchagua yeye watu wake, atangaze tenda..ajira watu suitable wapewe kazi...tena hii iwe kwa kazi zote za serikali hii ya kuchaguana ina tucost sana...haya mambo ya katiba tuyaache mkuu naona kama there's nothing we can do about it
Hicho kikundi kitaitwaje ?Hello wana JF,
Sijui kama yaliyosemwa na Lissu kuhusu Rais wetu ni kweli??? kuwa rais wetu yupo kama kivuli wanaoishikilia nchi ni wengine...
Binafsi ningependa kushauri kama ni kweli, Structure/ muundo na majukumu ya anayehodhi kiti cha Urais kunahitaji mabadiliko...
iundwe kikundi cha watu wenye elimu tofauti,uzoefu tofauti, wao ndio waongoze nchi, wasiozidi watano,
hao mawaziri wabunge hawakupatikana kihalali wanajali zaidi interests zao, wanampeleka mama shimoni,
halafu ni wengi mno, wanapata wapi muda hata wa kusikilizana ??.....
Akiunda hii independent body kama watu 5 muwe wawe wanakutana private away from bunge/baraza la mawaziri na influences zao....
..Ataona confidence yake inapanda sababu mko close na una muda wa kuwasikiliza na kuweka mikakati, follow up ya hio mikakati...ni idea tu wakuu.....
SiJASEMA BUNGE/BARAZA LA MAWAZIRI LIVUNJWE...
Hicho kikundi kitaundwa na nani ?Hello wana JF,

Okay okayMkuu yupo hapo mpaka 2025, tumsaidie pale penye mapungufu..tukisusa ni sisi ndio tunaumia zaidi...
Kama SSH yuko kama kivuli, Lissu yupo kama msukule huko aliko akitamani arejee na kupata ujiko kuliko huko ambako amefulia.Hello wana JF,
Sijui kama yaliyosemwa na Lissu kuhusu Rais wetu ni kweli??? kuwa rais wetu yupo kama kivuli wanaoishikilia nchi ni wengine...
Binafsi ningependa kushauri kama ni kweli, Structure/ muundo na majukumu ya anayehodhi kiti cha Urais kunahitaji mabadiliko...
iundwe kikundi cha watu wenye elimu tofauti,uzoefu tofauti, wao ndio waongoze nchi, wasiozidi watano,
hao mawaziri wabunge hawakupatikana kihalali wanajali zaidi interests zao, wanampeleka mama shimoni,
halafu ni wengi mno, wanapata wapi muda hata wa kusikilizana ??.....
Akiunda hii independent body kama watu 5 muwe wawe wanakutana private away from bunge/baraza la mawaziri na influences zao....
..Ataona confidence yake inapanda sababu mko close na una muda wa kuwasikiliza na kuweka mikakati, follow up ya hio mikakati...ni idea tu wakuu.....
SiJASEMA BUNGE/BARAZA LA MAWAZIRI LIVUNJWE...
Rais wa nchi ana mamlaka makubwa sana kama kashindwa kuyatumia ni uzembe wake mwenyewe tu.Kaole Sanaa Group[emoji16][emoji16][emoji1787]
Mkuuu kama 2016-2020 hapo sawa mkuuWewe hujawahi kusikia maovu mbali mbali nchi hii kuanzia 2016?
Mkuu huyaoni yanayoendelea nini hapa nchini mwetu?? Kuna tatizo kubwa la kiuongozi hasa pale Juu. Yaani pamepwaya mno. Nikupe mf mmoja tu: Gwajiboy katamka wazi kuwa kuna Viongozi wamekula rushwa ili chanjo iingie nchini. Hii alimlenga Rais. Waziri wa Afya ambae ni sehemu ya Serikali akatoa amri akamatwe kisha ahojiwe. IGP kachomoa. Ndugai katoa maelekezo Kwa IGP nae kagomewa. Mama kimyaaaa. Kwako wewe unapata picha gani kwenye Uongozi wa Juu??Mawazo na ajenda za ChADeMa...etu mama Samia kawekwa kivuli! Kisa Mbowe!
Si aliwaambia hataki Siasa za fujo?
Anajifanya mbishi eti kwa kuwa Rais mwanamke!
Katiba inamtambua yeye ndiye Rais..ushauri wako hauingii akilini na ni wa hovyo. Kinyume na katiba
Alafu huyo mpuuzi anadai Mama yuko hostage' wakati yeye ndiye refugee. Akija kukamatwa kwa kutoa taarifa za uongo na kusabisha taharuki yeye na wenzake watadai Mama Samia dikteta anakamata wapinzani!