Tumsaidie Rais Samia

Akina Siro na Mabeho ndio wanatawala.
 
Heheheh chadema watu wahuni sana. Walitegemea kumpelekesha mama kumtisha tisha kumpangiabnn cha kufanya walipoona hatetereki hawaamini kama nibyeye anaendesha nchi na sasa wameamua waje na hii ya kuendeshwa na kikundi.

Chadema is a disaster to this nation. Baada ya kuona gaidi yuko lupango wameamua kieneza ujinga.
 
So ulitaka vitu vidogo vidogo hivyo aingilie. Vita ya gwajima vs makonda, ndugai vs Assad umeisahau? Magufuli aliingilia.

Nyie tangu gaidi aqekwe selo ndo mmejitoa akili kumchafua rais. Stupid hila zenu zinajulikana.
 

Hii nchi ngumu sana:

Tumsaidie Rais Samia kuwaondoa Watendaji Mizigo

Yaonesha dokezo la bwana Venance halikufua dafu.
 
So ulitaka vitu vidogo vidogo hivyo aingilie. Vita ya gwajima vs makonda, ndugai vs Assad umeisahau? Magufuli aliingilia.

Nyie tangu gaidi aqekwe selo ndo mmejitoa akili kumchafua rais. Stupid hila zenu zinajulikana.
Suala la kuwa Mkuu wa Nchi Kala rushwa sio dogo au kwako unalichukulia poa???
 
Mwacheni
 
Suala la kuwa Mkuu wa Nchi Kala rushwa sio dogo au kwako unalichukulia poa???
Kiongozi mzuri ni yule anaepotezea wajinga. Sio kama yule jiwe kila anaeongea anamtafuta anamminya p*mb. Watu aina ya JK na Samiah ndo viongozi wazur.
 
Huyu huyu lissu si ndio alisema magufuli yupo nairobi? Ndio huyu huyu alisema bodyguard wa magufuli kafariki na tukamuona msibani

Lema juzi kasema gwajima aliwapa taarifa lissu kushambuliwa baadae lissu akazikanusha
.
Nachotaka kusema hakuna rais nusu kuna rais mwenye mamlaka kamili

Mwanzo mlisema anaongozwa na kikwete sasa hivi mnasema majaliwa hicho kitu ni nadharia hakipo
 
Walianza mama samia anaendesha na kikwete leo wamehamia kwa magufuli

Nchi ina rais kamili na sio rais nusu, juzi lema kasema gwajima kawapa taarifa kuwa lissu atashambuliwa baadae lissu akasema kwamba ni taarifa za uongo
 
Mkuu yupo hapo mpaka 2025, tumsaidie pale penye mapungufu..tukisusa ni sisi ndio tunaumia zaidi...
Tatizo miongoni new wasaidizi wa karibu wanamchonganisha wazi wazi na wananchi . Mfano rahisi wanaponyamazishwa wanao ibua mapungufu ya serikali.Kupitia ukosoaji jenga.
 
Atafika tuu kwani yeye ndio mwanamke wa kwanza kuongoza hapa Duniani? Kwani amekwambia haUpjiamini au wewe mtoa mada unaona hajiamini?

Mnapenda kujilisha Sana upepo,kama hadi sasa ameshafanya mambo mengi kinyume na Mwendazake sasa wewe una lipi la kuhoji confidence ya Mh.Rais?

Sema hivi nyie mlizoea kufika foka kujitutumua and the likes mkajua ndio uongozi
 
Kuna nchi zina hii kitu, na inasaidia sana but tatizo ni jinsi ya kuwapata ili wawe neutral...
 
Kinachotakiwa ni mama atumie mamlaka yake tu.
Nje ya hapo hao waluohodhi mamlaka ya rais/amiri jeshi watatupeleka pabaya sana! Kama ni kweli, basi hao ni wahaini

Mama Samia please, tumia mamlaka yako kwa faida ya watanzania na kwako pia
Kauli za mlevi zimpelekee kujiondoa madarakani??!!!

Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
 
UnaombA maoni au unatoa unachofikiri..!??
 
Pale issues nzito zinapozungumzwa mnakimbilia kujuficha kwa kichaka cha Chadema, mkiambiwa akili kisoda mnaanza kulia lia [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…