Huwezi kumsafisha mtu kwakunchafua mwingine...Acha hizo tabia...Ulikuwa una point ila kwakua huu mkweli kwa nafsi yako umejikuta unafanya unafiki...Utakuwa houseboy wa waziri wewe, ndio maana unachawa sana ili bosi wako aendelee kula kwa urefu wa kamba yake.